Read Maokoto Lyrics by Mabantu and Navy Kenzo
Read Maokoto Lyrics by Mabantu and Navy Kenzo. The song has been well received by fans in Tanzania and beyond.
READ ALSO: Read Maokoto Lyrics By Billnass Ft Marioo
Read Maokoto Lyrics by Mabantu and Navy Kenzo below:
Usione tuna furaha kinoma maana
Mwanzo haikuwa rahisi
Usione tunalewa kinoma maana
Hot stories
Mwanzo haikuwa rahisi
Usione tunapendana kinoma maana
Mwanzo haikuwa rahisi
Usione bata tunakula bata mwanzo
Haikuwa rahisi
Kumaanisha nini
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Because mwanzo haikuwa rahisi
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Because mwanzo haikuwa rahisi
Jana jumapili kabla jumapili goma
Leo tunavesha leo tunachoma
Dj Asumami vine tunataka ngoma
Waiter zungusha hivyo vinyama choma
Oyaaa maokoto maokoto
Yamekubali yamekubali
Hatuogopi Bill Hatuogopi Bill
Hawatudai Hawatudai
Oyaaa maokoto maokoto
Yamekubali yamekubali
Hatuogopi Bill Hatuogopi Bill
Hawatudai Hawatudai
Kumaanisha nini
Usione tuna furaha kinoma maana
Mwanzo haikuwa rahisi
Usione tunalewa kinoma maana
Mwanzo haikuwa rahisi
Usione tunapendana kinoma maana
Mwanzo haikuwa rahisi
Usione bata tunakula bata mwanzo
Haikuwa rahisi
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Because mwanzo haikuwa rahisi
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Because mwanzo haikuwa rahisi
She got a long hair sting like antenna
Getting money not the entertainer
Who you follow dont matter
What you feel like
Hold your gun can’t tell a hater
My baby nae kamjengea kaghotofa
Mommy girl dey flexing the check
And fella eeeh
Everybody is a blessing
All we do is a blessing
Ufukara matatizo yamekwisha
Mola kaamua kutupandisha
Ni muda sasa umefika
Kweli haikuwa rahisi
Maokoto
Oooooh yamekubali
Ooooh hatuogopi bill hawatudai
Usione tuna furaha kinoma maana
Mwanzo haikuwa rahisi
Usione tunalewa kinoma maana
Mwanzo haikuwa rahisi
Usione tunapendana kinoma maana
Mwanzo haikuwa rahisi
Usione bata tunakula bata mwanzo
Haikuwa rahisi
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Because mwanzo haikuwa rahisi
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Because mwanzo haikuwa rahisi