SHARE

Lalala Lyrics By Willy Paul Ft Jovial

SHARE

Read Lalala Lyrics by Willy Paul featuring Jovial. The hit song has been well received by fans since the day of its release.

Jovial and Willy Paul

READ ALSO: Kesho Lyrics By Willy Paul | READ

Read Lalala Lyrics by Willy Paul featuring Jovial Below:

Naimba toka motema ooh baby usije nitema
Naimba toka motema ooh baby usije nitema

Baby I never thought they'd come a day
Ninge fall in love like this
I never thought they'd come a day
Ninge fall in love like this

Walahi this is love this is love this is love that I'm feeling
This is love this is love this is love that I'm feeling
Baby niko sure nataka kuwa na wewe only you
Niko sure nataka kuishi na wewe only you uuh

Imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba
Imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba
Akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba
Akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba

Ooh baby na nakupenda, na na nakutaka
Ooh baby na nakupenda, na na nakutaka
And I can't do without you nakupenda na na nakuta
And I can't live without you nakupenda na na nakutaka
Ooh lala lalalalala, lalalalala Ooh lala lalalalala lalalalala

Jovi ona polisi anavolia mpaka mufungwa anamubembeleza
Kumbe mapenzi haitambui hata wenyu bunduki
Inapepeta tu kama risasi
Kama water fall
Mapenzi yana tiririka mwilini mwangu

Mapenzi ni ya wawili
Nimalize nibaki kiwili wili
Nimefall in love
Nimefall in love, fall in love
Nimefall in love

Imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba
Imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba
Akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba
Akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba

Ooh baby na nakupenda, na na nakutaka
Ooh baby na nakupenda, na na nakutaka
And I can't do without you nakupenda na na nakuta
And I can't live without you nakupenda na na nakutaka
Ooh lala lalalalala, lalalalala Ooh lala lalalalala lalalalala

Related

ADVERTISEMENT