SHARE

Kesho Lyrics By Willy Paul | READ

SHARE

Read and sing aloud Kesho Lyrics By Willy Paul. The song is produced by a well-known producer from Kenya, Saldido

Willy Paul

READ ALSO: Read Moyo Lyrics By Willy Paul

Read and sing aloud Kesho Lyrics By Willy Paul Below:

VERSE 1

Nakumbuka nikikuita unasonya wanipandisha wanishusha

Nilikuwa sina dooh mtaani nala dodo

Nilikuwa sina jambo iweje leo nina jambo

Mwanakulifind mwanakuliget Oooh ndio waniita mpenzi

Mwanakulifind mwanakuligeti Ooh leo waniita your baby

I'm sorry nilipotaka uwe mke ulisema sina dooh,

So so sorry hata kaibaskeli kangu ulisema nisake dooh

Do you know? Ni kidonda aina gani uloniweka moyoni

Upendo unadhaminiwa pale ukiwa nazo, Upendo unadhaminiwa pale ukiwa nazo

CHORUS

Nilikuomba usubiri hata kesho, nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)

Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa) nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)

VERSE 2

Ulichoka na maisha ya tomato, tomato, tomato, tomato chumvi ugali

Ulitaka maisha Dubai nami sikatai bora ungenisubiri

Baby ona leo ninamiliki manyumba pale Lavii

Its so sad siwezi share na niliyempenda kwa moyo wa dhati

My Valentino ungenitunzia moyo wako kuliko kunivunja moyo ulivyonivunja mama

Hata kosa ilipotokea nimeshindwa kukasirika hata moyo uliponivunja nilishindwa kukasirika

CHORUS

Nilikuomba usubiri hata kesho, nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)

Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa) nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)

VERSE 3

Ulitoroka sababu sikuwa na lolote kwa magoti niliomba usiniache my lover kesho yetu itakuwa sawa

Ulipigiwa simu nilipogonjeka karibu nife mama ukasema hunijui mi na we tulikuwa mistake

Baby don't blame me, don't blame me nimepata mwingine

Baby don't blame me, don't blame me nimepata mwingine

CHORUS

Nilikuomba usubiri hata kesho, nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)

Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa) nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)

Related

ADVERTISEMENT