Read La La La Lyrics By Ali Kiba Featuring K2ga, Abdu Kiba, Tommy Flavour & Vanillah
Read And Sing Aloud La La La Lyrics By Ali Kiba Featuring K2ga, Abdu Kiba, Tommy Flavour & Vanillah ( Kings Music).
READ ALSO: Read 'Mahaba' Lyrics By Ali Kiba
Read La La La Lyrics By Ali Kiba Featuring K2ga, Abdu Kiba, Tommy Flavour & Vanillah ( Kings Music) Below:
Girl you know Oooh
Umechukua ma mind ma body and ma soul
Uuuh
We ndo kupenda roho ooh ooh
Uzuri ulionao unawakaba koho
Aaaah uwiii Uuuh
Tuna yo mechi mechi eeh
Mungu zaidi tu less
Unapigwa baridi mwepesi
Wetu shahidi mwenyezi
We ndo wangu dereva
Kokote nitaendaa
Usafiri together me and you eeh
Nitakupenda mpaka kufa
Mahaba kutakucha
Wachawi wataisoma namba
Forever me and you
Laaa lalalaaaa lalalaaaa lalalaaaa
Ooooh laa lalalaa lalalaa lalalaa
Ooooh laa lalalaa lalalaa lalalaa
Ooooh laa lalalaa lalalaa lalalaa
Sweet love sweet love
Unamichanganya you you
Sinyoorita kila mara unanipa mood
Unanikosha wangu baby
Shikamoo Shikamoo
Wanipa raha zangu baby
Gimme Gimme more
Mwili wote ni mweupee
Katu tunapeana
Ahadi yangu ya pekee
Mi nawe tutaowana
We ndo wangu dereva
Kokote nitaendaa
Usafiri together me and you eeh
Nitakupenda mpaka kufa
Mahaba kutakucha
Wachawi wataisoma namba
Forever me and you
Laaa lalalaaaa lalalaaaa lalalaaaa
Ooooh laa lalalaa lalalaa lalalaa
Ooooh laa lalalaa lalalaa lalalaa
Ooooh laa lalalaa lalalaa lalalaa
Aaah Gooo shore my woman
Unayo katika utani wooo
Aaah Gooo shore my woman
Unayo katika utani wooo
Unanikosha wangu baby
Shikamoo Shikamoo
Wanipa raha zangu Babu
Gimi more Gimi more
Laaa lalalaaaa lalalaaaa lalalaaaa
Ooooh laa lalalaa lalalaa lalalaa
Ooooh laa lalalaa lalalaa lalalaa
Ooooh laa lalalaa lalalaa lalalaa