SHARE

Read Kale Kadance Lyrics By Vijana Barubaru

SHARE

Read Kale Kadance Lyrics By Vijana Barubaru. The song marks another time Vijana Barubaru scored a hit song.

READ ALSO: Read Ipo Siku Lyrics By Vijana Barubaru

Read Kale Kadance Lyrics By Vijana Barubaru Below:

Kila mtu kwenye dance floor

Let’s go, let’s go

Act like you know

Vijana barubaru na wewe

By any chance ka unaitaka unaikufia

Kwa streets mi casa ngori zinanikamia

Najipush nifike place hamwezi nifikia

Lost so many brothers God amenishikilia

Don’t back down face it head on

Ukiniona around jua tuko zone

Naeza toa form vurugu igo down

Mi casa es su casa ukimblein tunakuround

Tunadishi this year

Tuliwork hard last year

Kitu inaeza nikatskia

Ni kukosa kuona njia

Siezi taka kui dandia

Ka si yangu nailipia

Hauwezi nikosa kwa njia kani ukali unafikia

Kuwa mjamja kama uko mali niko

Enerfy iko ni ntakuwa richer than before

Uplifting my people on drugs hatuendi detox

We changing for nobody ipende vile iko

Kale kadance ketu time imefika

Jitafutie space ya kutingika yeah yeah

Kulearn unalearn na tudakika

Kubali kama vibe imekushika

Left foot mbele

Right foot back

Ua mosquito shikanisha your hands

Tingiza mabega kimulembe man

Ipeleke mbele then bring it back

Left foot mbele

Right foot back

Ua mosquito shikanisha your hands

Tingisha mabega kimulembe man

Ipeleke mbele then bring it back

Left foot mbele

Right foot back

Ua mosquito shikanisha your hands

Tingisha mabega kimulembe man

Ipeleke mbele then bring it back

Usichekelee my black eye

You should see the other guy

Alishindwa kuniangusha though he tried

Huwezi nikulia wife akona fidelity kushinda wifi

Me huwa si blame vitunguu when I cry

If to live I have to kill my dreams then I’ll die

Tie the knot make my noose ita kantai

Tie the knot make my noose ita kantai

Greatness is my ally

Nilidivorce quitting early morning

Ako kotini anapigania alimony

Nthini ngooni I know the truth ey

Najua tx nadai kubuy iko kwa booth

I’m sorry baby music is a jealous lover

Nikilala nje ndukaasye ndyaautvya

I’m doing this for you and our dear syana

Usiku hupita usichoke kungojea mchana

Kale kadance ketu time imefika

Jitafutie space ya kutingika yeah yeah

Kulearn unalearn na tudakika

Kubali kama vibe imekushika

Left foot mbele

Right foot back

Ua mosquito shikanisha your hands

Tingisha mabega kimulembe man

Ipeleke mbele then bring it back

Left foot mbele

Right foot back

Ua mosquito shikanisha your hands

Tingisha mabega kimulembe man

Ipeleke mbele then bring it back

Left foot mbele

Right foot back

Ua mosquito shikanisha your hands

Tingiza mabega kimulembe man

Ipeleke mbele then bring it back

Kama kwetu hakuna star

Basi wa kwanza ni mimi

Tunataka iende sana kila siku tunaweka bidii

Mziki na herb si unajua ni therapeutic

Ambieni spotify hii track playlist it

Mziki na herb si unajua ni therapeutic

Ambieni soitify hii track playlist it

Psych ya kupaa on a daily haiishi

Unadhani koona star kama mimi ni easy

Whatever you want best live you’ll achieve it

Hauwezi pata mwizi akipack side hizi

Kale Kadance - Vijana Barubaru

Related

ADVERTISEMENT