SHARE

Read Gharama Lyrics By Guardian Angel Ft Rose Muhando

SHARE

Read Gharama Lyrics By Guardian Angel Ft Rose Muhando. The song has been well recieved in East Africa and beyond.

READ ALSO: Read Salama Lyrics By Rose Muhando & Christina Shusho

Read Gharama Lyrics By Guardian Angel Ft Rose Muhando Below:

Hey you can balance unapanda utavuna 

Weee ukipanda mazuri utavuna wewe 

Ukipanda mazuri utavuna wewe 

Kile unapanda utavuna wewe 

Ukipanda maovu utavuna wewe 

Lililalalaa Lililalalaa

Lililalalaa Lililalalaa

Katika maisha yako jifunze 

Kuwa na kumbukumbu 

Lolote ufanyalo lazima 

Kuweka kumbukumbu 

Mema na mabaya lazima

uandike kumbukumbu 

Basi yale uliyopata jana 

Ndivyo unavyoishi leo 

Na yale unayopata leo 

Kesho utalipa gharama 

Ikiwa mema na mabaya 

Lazima utalipa gharama 

Gharama Gharama Gharama

Gharama Gharama Gharama

Lililalalaa Lililalalaa

Lililalalaa Lililalalaa

Nalipa gharama fulani ya 

Mambo fulani nilifanya 

Gharama ya nilimake 

Najutia makosa nilifanya mummy

Mi nalipa gharama fulani ya vitu 

Fulani nilifanya 

Gharama ya choice

decisions conclusions nilimake 

Mi najutia makosa nilifanya mummy

Kumbuka dunia haisemi uongo 

Ni lazima utalipa 

Usije beba mawe ukaumiza mgongo

Ukaharibu vitu 

What you overdo maji yakimwagika 

Hayazoleki 

What you should do 

Tumuombe Mungu akishakusamehe 

Wala hakumbuki 

Lililalalaa Lililalalaa

Lililalalaa Lililalalaa

Related

ADVERTISEMENT