SHARE

Read Dance Lyrics By Rayvanny Ft Jay Melody

SHARE

Read And Sing Aloud Dance Lyrics By Rayvanny Ft Jay Melody. The song has been well received in Tanzania and East Africa.

READ ALSO: Read Mchepuko Lyrics By Rayvanny Ft Phina

Read Dance Lyrics By Rayvanny Ft Jay Melody Below:

Baby dance dance like that 

Baby dance dance like that 

Oooh my baby dance like that 

Dance like that 

Umeniteka oh my my my 

Ukiondika nitadie die die die 

Napenda kitumbua chai chai chai chai 

Nimekupa moyo furahi furahi furahi furahi 

Urembo wako oooh nikikuona inadunda roho 

Tabasamu lako oooh sijiwezi umenikaba koo 

What can i do for you baby boo Uh 

Ni wewe tu barafu beautiful uh 

Nampenda huyu ataniua huyu 

Kiboko yangu roho yangu huyu 

Tamu yangu huyu 

Baby dance dance like that 

Baby dance dance like that 

Oooh my baby dance like that 

Dance like that 

Baby dance dance like that 

Baby dance dance like that 

Oooh my baby dance like that 

Dance like that 

Nipe baby mapenzi ya Tanga 

Hukohuko ndani 

Are you ready 

Niko na mbawa tupae angani

Ati moyo wangu mimi umekumbwa na kitu gani 

Yaani siwezi bila ya wewe maishani 

Hizi hisia kama utamu sukari guru 

Nishakuwa sijiwezi acha tu nipige nduru 

Hizi hisia kama utamu sukari guru 

Nishakuwa sijiwezi acha tu nipige nduru 

Nampenda huyu ataniua huyu 

Kiboko yangu roho yangu huyu 

Tamu yangu huyu 

Nampenda huyu ataniua huyu 

Kiboko yangu roho yangu huyu 

Tamu yangu huyu 

Baby dance dance like that 

Baby dance dance like that 

Oooh my baby dance like that 

Dance like that 

Oooh simwachi sitaki 

Huo utamu wa mapenzi nitaupata wapi 

Oooh simwachi sitaki 

Huo utamu wa mapenzi niende wapi 

Related

ADVERTISEMENT