SHARE

Read Bembeleze Lyrics By Willy Paul Ft Nandy

SHARE

Read Bembeleze Lyrics By Willy Paul Ft Nandy. The song marks another Willy Paul and Nandy have collaborated on a song.

READ ALSO: Lalala Lyrics By Willy Paul Ft Jovial

Read Bembeleze Lyrics By Willy Paul Ft Nandy Below:

Wanasema utakuja nikimbia utaniacha mmmh

Wanasema utakuja nitesa moyo utaviruga wooooh aaaah

Wanasema utakuja nikimbia utaniacha mmmh mmmh.

Wanasema utakuja nitesa moyo utavuruga yeah…

I wish wangejua unavonipenda nami navokupenda

Tunavyobembeleza  mmmh uwo uwo uwo.

Itabidi wakam slowly ehe na wajione tukipigana mate ehe 

hapa tu ni mapenzi ya dhati baby njoo niku bembeleze.

Chorus:

Baby njoo nibembeleze nibenibembele

Baby njoo nibembeleze nibenibembele

Baby njoo nibembeleze nibenibembele

Baby njoo nibembeleze nibenibembele

Ooh njoo nibembeleze nibenibembele

Baby njoo nibembeleze nibenibembele

Uuuh eeeih eeeih uuuh

Sijawai kuona a man so good mmmh aaah ama so sweet

mmmh aaah a man so perfect..... 

Sijawai kuona a man so good mmmh aaah ama so sweet

mmmh aaah a man so perfect.....

Na nikiugua ni wewe ndie dakitari wa moyo wangu baba aaah…

Kila unaponishika kama nimepigwa na umeme mmmh

kila unapoondoka yangu dunia inasimama aaah.

Mapenzi yako yamenipa amani

kwa mapenzi yako sihitaji ata money

Baby wengine hata sitamani basi my lover

njoo nikubembeleze.

Chorus:

Baby njoo nibembeleze nibenibembele

Baby njoo nibembeleze nibenibembele

Baby njoo nibembeleze nibenibembele

Baby njoo nibembeleze nibenibembele

Ooh njoo nibembeleze nibenibembele

Baby njoo nibembeleze nibenibembele

Uuuh eeeih eeeih uuuh

Bembeleze -Willy Paul Ft Nandy

Related

ADVERTISEMENT