SHARE

Rose Muhando - Secret Agenda Lyrics

SHARE

Read and enjoy Secret Agenda lyrics by Rose Muhando. The song is the lead single from Rose Muhando's upcoming album "Secret Agenda"

READ ALSO: Everything We Know About Christina Shusho's "Hararat" Album | SEE DETAILS

Read and enjoy Secret Agenda Lyrics By Rose Muhando Lyrics Below:

INTRO

Secret Agenda Lyrics 

Secret Agenda Siri Agenda 

Secret Agenda Siri Agenda

VERSE 1

Kwanza namushukuru Mungu aliyeniponza machungu 

Na maneno ya walimwengu kweli Mungu sio mzungu 

Hafitinishwi na majungu

 Hakuninyima langu fungu 

Amepindua agenda 

Ameharibu agenda 

Amezifuta agenda 

Amepindua agenda 

Bado bado bado bado 

Nasema hamjaona bado 

Mawazo ya Mungu ni fumbo (Remember) 

Akili za Mungu ni fumbo (Remember) 

Wachawi ongezeni bando 

Wapigieni wakibondo 

Wabadilishe na mitindo 

Sio kila siku kuruka na ungo 

Tupigieni na mabondo

Akome kuroga na mafundo 

Neno la Mungu ni nyundo

Sio kama gazeti la Shigongo 

Yeye hachunguziki Ni mwamba hatikisiki 

Wala hapendi kiki anapenda sifa na muziki 

BRIDGE

Yeye anasema kamata pindo 

Cheza serebuka leta mdundo 

Yeye anasema Kamata pindo 

Cheza serebuka lete mdundo

Yeye anasema Kamata pindo 

Cheza serebuka lete mdundo

Yeye anasema Kamata pindo 

Cheza serebuka lete mdundo

Secret Agenda Siri Agenda 

Secret Agenda Siri Agenda

VERSE 2

Never never never never know 

Adui zangu hawanipati ng'oo 

Maisha yangu yamekwenda viral 

Yesu amenifunga namba serial 

Adui zangu wamebaki na video 

Yeah I am a fighter 

It is better 

Yeah I am a fighter 

It is better

Nitapinfua agenda 

Nitaharibu agenda 

Nitazifuta agenda 

Nitaharibu nitang'ang'ana kama defender 

Nitaharibu nitang'ang'ana kama defender

No retreat no surrender 

BRIDGE

Yeye anasema kamata pindo 

Cheza serebuka lete mdundo 

Yeye anasema Kamata pindo 

Cheza serebuka lete mdundo

Yeye anasema Kamata pindo 

Cheza serebuka lete mdundo

Yeye anasema Kamata pindo 

Cheza serebuka lete mdundo

CHORUS

Secret Agenda Siri Agenda 

Secret Agenda Siri Agenda

Related

ADVERTISEMENT