Nitafanyaje Lyrics by Diamond Platnumz

Diamond Platnumz Lyrics
Diamond Platnumz dives deep into his emotions, bringing out a heartfelt story of love, struggles, and unfulfilled dreams in a brand new single song titled Nitafanyaje, whichi is now available in all digital platforms
Read Nitafanyaje Lyrics by Diamond Platnumz below:
(Verse 1)
Siwezisema kitandani, labda umasikini wangu
Ndo kinayonishusha thamani, watahminike wenzangu
Siwezisema skujali, labda vizawadi vyangu
Havikufikia ukubwa wanavitoa wenzangu
Hot stories
(Pre-Chorus)
Kinachoniumiza, hauridhiki ugao wa Mola
Ningali kwa mimi, mbona hujaombola
Na mbaya kabisa, rafiki wananichora
Kwa hizo posti zake na wenye nguvu (Kuyatoa hiyoo)
(Chorus)
Oh oh, moyo wangu mamaa, unaona uchungu
Mwenzake, moyo wanguu, anauumiza sanaa
(Bridge)
Sema nitafanyani, ndo ivo nitafanya
Ila nitafanya nini, ndo ivo nitafanyaje
(Verse 2)
Nashikwa na gagaziko kila nikiingia chumbani
Sijui nilalie tandiko ama sakafuni, aah
Nachoka tu kwa nje na ndani (Masikitikoo)
Sababu pengo lako, honey, bado lipoo
(Pre-Chorus)
Kinachoniumiza, hauridhiki ugao wa Mola
Ningali kwa mimi, mbona hujaombola
Na mbaya kabisa, rafiki wananichora
Kwa hizo posti zake na wenye nguvu (Kuyatoa hiyoo)
(Chorus)
Oh oh, moyo wangu mamaa, unaona uchungu
Mwenzake, moyo wanguu, anauumiza sanaa
(Outro - Singeli Energy)
Oi, lije-lije, hii ngoma iweke lipiti
Maana natupa stimu na wanangu kulilia kijiti
Lije-lije, hii ngoma iweke lipiti
Sajuti ya wazimu kuitoa tu msema muziki
Kwa maana inatu (Fire), na inatu (Fire)
Mwanangu inawa (Fire), na inawa (Fire)
Machizi wote wanapata (Fire), eh wanapata (Fire)
Na mbegu zinapata (Fire), eh zinapata (Fire)
Namnema mwanangu kwa upande wa kanga
Nilitamani tenge ila sijajipanga
Namnema mwanangu kwa muda pata mwenzio
Nilitamani manasi ila ndo sina salio
(Hook - Street Vibes)
Mama yo mama (Amenitenda kausha damu)
Oh mama yo maa (Wamenitenda kausha damu)
Oh mama yoyo (Wamenitenda kausha damu)
Oh mama yo maa (Wamenitenda kausha damu)
Asa waitee, oya makofi, kigogo nipe mawili
Ka hujatumika sana sehemu za siri
Kaso Mlonganzila, shepu asili
Sa nipe ya kibunge-bunge utitiri (Twen zetu)
Asa audi waletee, walete apa kati
Waletee haoo, walete apa kati
Waletee asaa, walete apa kati
Walete haoo, walete hapa kati
(Singeli Finale)
Eeh tunacheza mpaka sa ngapi, tunachezaa (Mpaka asubuhi)
Tunaruka mpaka sa ngapi, tunaruka (Mpaka asubuhi)
Hivi tena, bado sijaona
Hivi tena, bado sijaona
Hivi tena, bado sijaona
Hivi tena, bado sijaona
Eeh (Kuelewa) aah
(Eeh unayumba) eeh (Sasa umeelewa) aah
Eh unayumba
We ndo si huelewa, sa mbona unayumba
Unavyomwelewa, eh unayumba
Oya wahuni wana namba zao zinaitwa (Apana chando)
Wanangu wana mamba zao zinaitwa (Selasini na mbili)
Masala wana mamba zao zinaitwa (Ishirini na sita)
Oya kuna wengine hawana namba
Explore Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via X and Facebook