Read 'Wa Sasa' Lyrics by Kusah
Read and enjoy Wa Sasa lyrics by Kusah. The song has been well received in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Kusah pays homage to Bongo Flava in his new single 'Wa Sasa'
Read Wa Sasa Lyrics by Kusah below:
Uwoooh Uwoooh
Its Cukie Dady
Oooh my weee nataka nikupe
Hot stories
Penzi ulishike lote
Ulishike kwa mikono
Kwa mikono mwenyewe
Na hata ukiwa mbali weeee
Jifanye bado kama tuko wote
Mamaaaa fumba macho unione
Unione mwenyewe
Kweli mabaya yapo
Ila mazuri yapo
Tujishikilie usije ukaniacha
Utafanya nilie
Kweli wabaya wapo
Ila wazuri wapo
Inabidi uangalie usiwatamanie
Utafanya nilie
Huyu wa sasa nahisi nimefika
Sitaki hata kupepesa macho
Sioni kando
Huyu wa sasa nahisi nimefika
Sitaki hata kupepesa macho
Sioni kando
Mwenzako penzi lako burudani
Jamani huku hoi taabani
Mwenzio sikio halisikii tena
We jione mwamba
Ringa vimba dunda
Ujue nakupenda Aaaah
Mwenzio nakupenda Aaaah
Nami natamba Insta Tiktok
Naringa mwenzio nakupenda Aaaah
Wajue nakupenda Aaaaah
Kweli mabaya yapo
Ila mazuri yapo
Tujishikilie usije ukaniacha
Utafanya nilie
Kweli wabaya wapo
Ila wazuri wapo
Inabidi uangalie usiwatamanie
Utafanya nilie
Huyu wa sasa nahisi nimefika
Sitaki hata kupepesa macho
Sioni kando
Huyu wa sasa nahisi nimefika
Sitaki hata kupepesa macho
Sioni kando