Upo Nyonyo Lyrics By Saraphina
Read And Enjoy Upo Nyonyo Lyrics By Saraphina. The song has been a major hit in Tanzania and has, without a doubt made Saraphina a household name
READ ALSO: Moyo Lyrics By Mbosso Ft Costa Titch & Phantom Steeze
Read, sing aloud and enjoy Upo Nyonyo Lyrics By Saraphina:
Shamba la babu , nalima Nivune muhogo na shina ni weh
Tambarale mwa milima Kufika kilele lazima
BRIDGE
Hot stories
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa Lakini siachi, ooh siachi Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda Lakini siachi, ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah Mambo mwanana, nimesitirika hewalah Nimelipata bwana Lakunidekeza nalala Tumeridhiana sina Muda wa kum chiti wala
CHORUS
Nipo nyonyo Nipo titi (Aah nimejaaa tele) Nalishwa vinono nipo fiti (Aah, nimejaa tele)
Aaah Nipo nyonyo , nipo titi (Aah nimejaa tele) Nalishwa vinono Nipo fiti (Aah nimejaa tele)
VERSE 2
Sitaki chupa ya soda baby niletee energy Wajue upo na mimi watumie meseji ah Mi hoi lege lege Nitupie kwa bedi Kabisa n'garagaze, Mpaka ni dead