Read Tajiri Lyrics By Lava Lava
Read And Enjoy Tajiri Lyrics By Lava Lava. The song is produced by Mr Lg while Lizer Classic handled the mixing and mastering of the song.
READ ALSO: Lava Lava Is Back Again With "Tajiri" | LISTEN
Read Tajiri Lyrics By Lava Lava Below:
Nilikupigia simu chaji ikakata
Nikakutilia timu mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu
Ntakulaje bata
We ni mtu muhimu
Nikiwa nawe najipata
Halo halo halo
Halo halo halo
Halo halo halo
Halo halo halo
Afadhali nimekuona
Afadhali tumeonana
Afadhali nimekuona
Afadhali tumeonana
Nilikaa kinyonge sana
Tajiri huna adui tajiri
Wacha niagize pombe nyama
Tajiri huna adui tajiri
Na bebe zinletee Savana
Tajiri huna adui tajiri
Tajiri atalipa bwana
Tajiri huna adui tajiri
Nilikupigia simu chaji ikakata
Nikakutilia timu mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu
Ntakulaje bata
We ni mtu muhimu
Nikiwa nawe najipata
Halo halo halo
Halo halo halo
Halo halo halo
Halo halo halo
Kwanza haunaga mapozi
Hauna mbambamba
Haunaga mamluki
Hauna mbambamba
Ukifa hauozi
Hauna mbambamba
Ukioza haunuki
Tulikaa kinyonge sana
Tajiri huna adui tajiri
Wacha niagize pombe nyama
Tajiri huna adui tajiri
Na bebe zinletee Savana
Tajiri huna adui tajiri
Tajiri atalipa bwana
Tajiri huna adui tajiri
Hasa mwaga note mwaga mwaga
Tajiri mwaga mwaga
Hasa mwaga note mwaga mwaga
Tajiri mwaga mwaga
Eeeh mwaga note mwaga mwaga
Nasema mwaga
Eeeeeh mwaga mwaga
Jamani mwaga