SHARE

Sugar Remix Lyrics By Jay Melody Ft Marioo | READ

SHARE

Read the official lyrics to Sugar Remix by Jay Melody ft Marioo. The remix of the song comes four months since the original version was released.

Sugar remix lyrics

READ ALSO: Read 'Naogopa' Lyrics By Marioo ft Harmonize

Read, sing aloud and enjoy 'Sugar Remix Lyrics By Jay Melody ft Marioo

VERSE 1

Sweet like a kuku tamu sana

Sweet like a supu am going to die

Kwenye dimbwi sijiwezi nimezama

Mi corazon my baby banana

Penzi hulifichi kama ni sindano itachomaa

Mi siambiliki hata wakaniroge Kigomaa

Ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paaa

Mpenzi wangu nishike nisije nikapaa

Kama mvua na mawingu kama mwezi na anga

Sina jambo kwa jinsi umenikamata

CHORUS

Tena usinipege kiduchu (Sugar Sugar Sugar )

My life is nothing without you (Sugar Sugar Sugar)

VERSE 2

Nachagua mmwenyewe nitakula ndo nile ama nile ndo ntakula

Najisevia manyama manyama Utamu Utamu

Aaah naona raha mie unavyonipeleka puta

Mako tinda mako stamina yaani show show

Mmmmh naona raha mie unavyoIshusha kwenye tuta mama aaah

Mako tinda mako stamina yaani soo soo

Aaaah umeniweza niuwe kanizike Aaah kanizike umeniweza Mmmh

Ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paaa aaaah

Baby wangu nishike nisije nikapaaa

CHORUS

Tena usinipege kiduchu Sugar Sugar Sugar)

Aaaah my life is nothing without you (Sugar sugar sugar)

Related

ADVERTISEMENT