Read 'Show Off' Lyrics by Ben Pol featuring Darassa
Read and sing aloud Show Off Lyrics by Ben Pol featuring Darassa. The song has been well-received in Tanzania and beyond.
READ ALSO: Read Nobody Lyrics By Darassa Ft Bien
Read Show Off Lyrics by Ben Pol featuring Darassa Below:
Kaomba kapewa
Kaonja kalewa
Na mi ndo nishamuelewa
Hot stories
nikimkosa nakua kama nachelewa
Nyota mbala mwezi mwanamke amazing
Mbona hawakuwezi kama
Unakuwaga na ngekewa
Siri sio siri tena penzi hadharani
Usipomkuta kwangu sasa atakua kwa nani
Siri sio siri tena penzi hadharani
Usipomkuta na mimi sasa atatamba na nani
Aaaaaaaah ah Aaaaaaaah ah
Aaaaaaaah ah Aaaaaaaah ah
Aaaaaaaah ah Aaaaaaaah ah
Aaaaaaaah ah Aaaaaaaah ah
Show off Aaaaaaaah ah
Asa show off Aaaaaaaah ah
Kama unapenda show off
Aaaaaaaah ah
Kama unapenda show off
Aaaaaaaah ah
Show Off
Mapenzi yashanitesa roho
Aseee i better let it go
Toka nimetoka na wewe mbona
Naona tunapendana
Washaniumiza sana roho
Napenda mwanamke match no
Toka nimekuwa na wewe
Kama mapacha tunafanana
Mapenzi huwaga complicated
Sometimes you do whatever is taking
Watu watakuambia utaskia nonsense
Maana hisia ikiendesha kichwa no break
Hili penzi nimeingia VIP
Navyojiachia your body on me
Unanipa AB na C D
Mwenge unachoma kijiji
Vuka kwenye mto wa Rufiji
Lima lima kwa shamba la bibi
She give me a key nam-treat ki G
Nashuka napanda
She say be free
Siri sio siri tena penzi hadharani
Usipomkuta kwangu sasa atakua kwa nani
Siri sio siri tena penzi hadharani
Usipomkuta na mimi sasa atatamba na nani
Aaaaaaaah ah Aaaaaaaah ah
Aaaaaaaah ah Aaaaaaaah ah
Aaaaaaaah ah Aaaaaaaah ah
Aaaaaaaah ah Aaaaaaaah ah
Show off Aaaaaaaah ah
Asa show off Aaaaaaaah ah
Kama unapenda show off
Aaaaaaaah ah
Kama unapenda show off
Aaaaaaaah ah
Show Off