Read That Again Lyrics By Moni Centrozone Featuring G Nako | READ
Read, sing aloud and enjoy Read That Again Lyrics By Moni Centrozone Featuring G Nako. The song has been a smash hit since the day of release.
READ ALSO: Read Hata Sielewi Lyrics By Barnaba Classic Featuring Saraphina
Read, sing aloud and enjoy Read That Again Lyrics By Moni Centrozone Featuring G Nako Below:
VERSE 1
Kijana mwenye msuli we ni tone la manii
Na ukifa ni kazi yake mola ashasemaga madee
Ndoto unazoota unatamani ufullfill
Ila haujipiganii unajicheat , sio real
Aaah Wengine walipenda shule ila ada ilikuwa mchongo
Na Waliokwenda Shule Wakadunda Necta kigongo
Waliofaulu Kuja tu mtaani hamna michongo
Chawa anaenda km vipofu tajiri chongo
Kupata riziki roho mkononi utashika hadi upinde
Cha kwanza familia bora washibe wewe usile
Wakati unajizuia vingine vya ndani usile
Hujui mkeo ni mzoefu kwenda kinyume na maumbile
Ashakum si matusi
Watu wana hofu kusikia kila nafsi itaonja umauti
Kwenye maisha unaeza stuck kisa watu unaowapenda
Hivyo inabidi mtengane ili we ufike unapokwenda
CHORUS
Read Again
Wakipoteana ndo zinaanza lawama
Wakipatia hawafiki maskani bhana
Wachawi wote leo tunawaona mchana
Na na na na na
Aweeeeeee Aweeee
Aweeee Aweeee Aweee
Aweee Aweee Aweee
VERSE 2
Napata madini ya wazee kwenye vibanda vya kahawa
Kuhusu Doctor Bashiru Na Sabaya kukosa power
Nawapa Sikio Na Viongozi Wa Dini Wanipe Dawa
Kuhusu Chanjo Ya Uviko 19 twende sawa
We from The Street Ambapo few people are educated
Kuhusu Social Welfare Tuko Discriminated
Hakuna ch happy new year wala happy belated
Ili kufanikiwa ubongo uwe marinated
Now Mic On Real Is Back , Real Live hot,
Mafunzo tamathali za semi mazengo On Map
Nimechoka Kuwa Nyuma Ya Kivuli Sa Dodoma On Top
Yule Kijana Alieokolewa Na Rap He Is So Smart
That’s Why Siwez Kuacha Kazi Kisa Dem
Wakat nikienda kwenye kazi Sikosi Demu
Kama nikitaka ila Respect kwanza kabla ya Game
Ndo Niloweka Mbele Na Kuweka Respect on My Name Maaanicaa
CHORUS
Wakipoteana ndo zinaanza lawama
Wakipatia hawafiki maskani bhana
Wachawi wote leo tunawaona mchana
Na na na na na
Aweeeeeee Aweeee
Aweeee Aweeee Aweee
Aweee Aweee Aweee