SHARE

Read Singo'ki Lyrics By Masauti

SHARE

Read Sing'oki Lyrics By Masauti. The song marks another time Masauti has scored a hit in East Africa and beyond.

sing'oki lyrics by masauti

READ ALSO: Read Baby Lyrics By Masauti

Read, enjoy and sing aloud Sing'oki Lyrics By Masauti Below:

Hanaga ringisho alivyo mrembo katoto kadogodogo

Hashoboki na mabishoo hanaga shobo njaro zake simple simple

Ananipa michecheto, kasherie coco, can I call you baby baby o

Tui la nazi coco, coconut oh Be my baby oh

Unanifanya niwike kijimbi
Najikutua mabawa
Nakuota nakesha
Ka popo bawa, bawa
(Ka popo bawa, bawa)

Kichwa mbona kiume, naweka medicine
Akili imechachawa, chawa
Fanya mambo tuwe sawa, sawa
Tuwe sawa, sawa

Miss Independent Wallai

Vipi mi nitaua kenge uwe mine
Anything for you baby don mind
Love me jeje nikupe vitu fine fine

Mi kwako sing'oki, sing'oki
Sing'oki sing'oki
Nasema sing'oki, sing'oki
Sing'oki sing'oki

Hata akili iwe bipolar
Sing'oki sing'oki, singoki
Hata kwa panga ama bastola
Sing'oki sing'oki, singoki

Sa kape nyonga, zako mi nitahonga
Sema shingapi, mi nitalipa dabo
Katoto karongai, karembo kamasai
Daily kameshona yaani kako gado

Baby put your body on me (on me)
Baby don't do corny (corny)
I wanna show you my skills

Until you call me daddy

Miss Independent Wallai

Vipi mi nitaua kenge uwe mine
Anything for you baby don mind
Love me  jeje nikupe vitu fine fine

Miss Independent Wallai

Vipi mi nitaua kenge uwe mine
Anything for you baby don mind
Love me  jeje nikupe vitu fine fine

Mi kwako sing'oki, sing'oki
Sing'oki sing'oki
Nasema sing'oki, sing'oki
Sing'oki sing'oki

Hata akili iwe divert
Sing'oki sing'oki, singoki
Hata kwa panga ama bastola
Sing'oki sing'oki, singoki

Oh baby girl okay

Can you come over today
Basi vaa tutoke
Nikupeleke kwa mama akupokee

Ah baby girl okay
Can you come over today
Basi vaa tutoke
Nikupeleke kwa mama akupokee

Miss Independent Wallai

Vipi mi nitaua kenge uwe mine
Anything for you baby don mind
Love me  jeje nikupe vitu fine fine

Miss Independent Wallai
Vipi mi nitaua kenge uwe mine
Anything for you baby don mind
Love me jeje nikupe vitu fine fine

Related

ADVERTISEMENT