Read On Fire (Nakukunda) Lyrics By Kusah
Read, sing aloud and enjoy On Fire (Nakukunda) Lyrics By Kusah. The song is found in Kusah's recently released EP titled "Romantic"
READ ALSO: Read Jimwage Lyrics By Kusah Ft Femi One
Read, sing aloud and enjoy On Fire (Nakukunda) Lyrics By Kusah:
VERSE 1
Kama ni ndumba baby umenifanya kama punda mzigo ninabeba na nadunda naenjoy
Walahy umenifunga mapigo ya moyo yananidunda kama ni sindano umenidunga mie hoii
Hot stories
Sanamu lako likajengwe posta niende kwenu nikatoe posa
Ama nifanye vitu wanione ndondocha ama ama nifanyeje
BRIDGE
Jamani penzi lake pombe me nimelewa nayumba nashindwa kujielewa
Kama unayajua haya utanielewa ila kama hujui ndo umechelewa
CHORUS
Aaaahuuuu nakukunda your love is on fire
Aaaaahuuu nakukunda your love is on fire
VERSE 2
Kati ya wote hao number moja me nakwambia umepita wote hao ooooh babe
Thamani yako weeh thamani yako zaidi ya rupia hawakuwezi hao Oooh darling
Labda nikuambie kwamba me nyoka umenivua gamba
Kwako naanzaje kutamba sasa naanzaje baby
Na vyenye unanivuta nafsi inanisuta me unanikoshaga na kule unanivusha nimeweka nukta mie nimefikaga
Sanamu lako likajengwe posta niende kwenu nikatoe posa ama
Nifanye vitu wanione ndondocha ama ama nifanyeje