SHARE

Read McMca Lyrics By Wakadinali

SHARE

Read, Enjoy and Sing Aloud McMca Lyrics By Wakadinali. The song marks another time Wakadinali has created a hit song.

READ ALSO: Abbas Kubaff x Khaligraph Jones x Wakadinali - High Noon

Read, Enjoy and Sing Aloud McMca Lyrics By Wakadinali Below :

INTRO

MC still MCA USA, USB na ka charger type C

Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb

MC still MCA USA, USB na ka charger type C

Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb

VERSE 1

Screen yangu bado ni JVC Old school blood mi huona KBC

Kichwa mbaya, Sewer siskii Watu wa CBC unaeza tuita Gen Z (Gen Z)

Same thing shit still never changed Bado MVP

Tukimalizanga game (Game)

Sioni haya zetu zikikanashi Mi ndo VIP

Kwa show zote mna-attend (VIP)

JYK ukituona jiekee Jeshi ya B imekam kuharibu South C (South C)

Barricade kuna wale wana AK Jeshi ya D imekam kuharibu South B

AV ukidai tuchome scene (Aha) Utatuchoma picha ju hatunanga ID

MP hajawai skia our plea (Yeah)

Mara IEBC vitu hata haitusaidii (Yeah yeah)

MC still MCA USA, USB na ka charger type C

Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb

MC still MCA USA, USB na ka charger type C

Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb

VERSE 2

Yo, ni kaa mi ndio niliwaletea corona Wanabonga very bad, loud hao ma hater

mthii snake kula corner Sababu s**t zao mi huzionyeshanga rogue and see

Nikitaka peng labda Nikita Kering' Lupita haniezi labda akitaka ring

Ju ni kuficha ring tuki-do ma featuring Sprite,

lean na niko bin Dry gin nayo nicotine,

"Hi, honey I'm home" Nazikindanga kaa 10 ma githecha

Since kindergarten nadaingi Kim Kardashian Mombasa, Naivasha,

ama nikupeleke Rhodesia? Ama Dar mpaka Moro?

Acha ni earn nikuwai goro

CHORUS

MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character

yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb

MC still MCA USA, USB na ka charger type C

Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb

VERSE 3

This year niko fully loaded MCA mbele ya wasee sikuli gode

Si choose kazi jo uchumi ngori Usiulize nafanya nini niko shughli zote

Usimess na hii shit ni deep Dem yako sikumdishi nilimpimp

Purura windows ni tint

Karao anachunguza nini hio inastink

Brejin how are you behaving KSM vitu tulifanya Airbnb

MC wenu bado MCM That's why they can't compare me and them

Ju ya chats kama VOM Ju ya cash uone violence

Niliuliza mother land ama ubaiwe Benz

Kovi on demand warazi wanatens

CHORUS

MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character

yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb

MC still MCA USA, USB na ka charger type C

Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb

Related

ADVERTISEMENT