Read Marry You Lyrics By Ommy Dimpoz Featuring Nandy
Read Marry You Lyrics By Ommy Dimpoz Featuring Nandy. The song is track number 10 in Dimpoz's debut album titled Dedication.
READ ALSO: Read Vacation Lyrics By Ommy Dimpoz
Read Marry You Lyrics By Ommy Dimpoz Featuring Nandy Below:
Aah eeh I’m gonna do everything for you
Ndoto nilizonazo juu yako it’s true uh
Eeh
Kwako Mateka niamuru utakavyo
Acha nikupendo ukiwa package full
Uko smart Uko loyal
Oooh hutaki niumiza
Na sauti yako nyololo
Oooh yakutuliza
Haina papara ya moyo
Oooh ya kuchukiza
Wakileta Maneno
Waflash
Tell them girl
You’re the one I want
Oooh
Today I’m marrying you
Your my love, my best friend
Today I’m marring you
Aibu kwao walotaka tuachane
Today I’m marring you
Uh uh uh uh
Today I’m marring you
Ulinishibisha Pendo ukuuliza japo walitupiga kipapai
Naona Ndoto miujiza ulikubali ufe na tai
Miye Mikono juu
ushindwe wewe ushindwe wewe
Vyote nitapakua ushibe wewe ushibewewe
Nahisi Ntatoka Duniani
Duniani duniani duniani
Ukijaenda mbali nami mbali nami
Nishakupa imani waubani mwandani
Siri yangu ni Siri yako wajue
Uko smart Uko loyal
Oooh hutaki niumiza
Na sauti yako nyololo
Oooh yakutuliza
Haina papara ya moyo
Oooh ya kuchukiza
Wakileta Maneno
Waflash
Tell them girl
You’re the one I want
Oooh
Today I’m marrying you
Your my love, my best friend
Today I’m marryingng you
Aibu kwao walotaka tuachane
Today I’m marrying you
Uh uh uh uh
Today I’m marring you
Hatuachani milele daima
Mimi nawe milele
Wapi wakaanga sumu
Mimi nawe milele
Milele daima
Mimi nawe milele
Penzi walilitia ndimu
Mimi nawe milele
Leo ndoa Leo ndoa
Acha wapigepige domo
Leo ndoa leo ndoa
Oh mi na wewe
Leo ndoa Leo ndoa
Acha wachonge chonge domo
Leo ndoa leo ndoa