Read Kuna Kuna Lyrics By Vic West Ft Fathermoh, Savara, Brandy Maina
Read And Enjoy Kuna Kuna Lyrics By Vic West Ft Fathermoh, Savara, and Brandy Maina. The song has been well-received by fans in Kenya and East Africa in general.
READ ALSO: Read Girls On Top Lyrics By Sauti Sol Ft Brandy Maina & Maandy
Read Kuna Kuna Lyrics By Vic West Ft Fathermoh, Savara, and Brandy Maina Below:
My hands your waist, my heart away
Unanikuna kuna, nikuna kuna
My lips your lips, they touch we kiss
Unanikuna kuna, nikuna kuna
Nipe nikupe, come to the dancefloor beib
Leo tuna fess ah fi, fess ah fi banger
Ama tuta do it your way, yeah
Wacha niguse usiniogope beib
Leo nafinesse na finesse na ujanja ey
Leo nitamaintain
Ukinikuna back, mi nitakukuna front
Ebu baby don’t let go
Ukinipea shash mi nitakupea ndom
Ey this the kind of love
Hot stories
Make me want me do it, do it, do it, do it
I make you, make you show it, show it, show it, show it
This wayy…
My hands your waist, my heart away
Unanikuna kuna, nikuna kuna
My lips your lips, they touch we kiss
Unanikuna kuna, nikuna kuna
Siezi, lewa sai
Siezi, siezi toka club sai
Siezi kosa kuteka mpoa sai
Siezi buyiwa pombe alafu mi nizirai
(Siezi)
Sakata sakata, Rhumba Rhumba
Sakata sakata kuna nyuma
Chuchumaa kunawe vunja mfupa
Tumia mikono ukishindwa miguu na
Ati kilichopandwa ni ulichokikuza
Na kikikuguza ni ju ulikichuna
Na kisipozama ni ju hakijavunwa
Na kikizolea ni juu kimemwagwa
My hands your waist, my heart away
Unanikuna kuna, nikuna kuna
My lips your lips, they touch we kiss
Unanikuna kuna, nikuna kuna