SHARE

Read Assalaam Lyrics By Mbosso Featuring Mohamed Almanji

SHARE

Read And Enjoy Assalaam Lyrics By Mbosso Featuring Mohamed Almanji. This is track number 5 on Mbosso's Khan EP.

READ ALSO: Yataniua Lyrics By Mbosso Featuring Diamond Platnumz | READ

Read And Enjoy Assalaam Lyrics By Mbosso Featuring Mohamed Almanji Below:

Assalamualaikum ya khabibi
Assalamualaikum ya khabibi
Eyotron
Uhali gani wa Hali
Nakusalimia wa Hali
Khabibi wa Hali
Me mzima wa shwari
Hofu usiwe na swali
Moyo umetananariiiih
Mazoea yamenijengea tabia mwenzako
Nimelowea Hilo joto joto na harufu yako
Nimekolea linanizongea jini huna lako
Chochea upashe Moto Moto mwili wangu

Assalamualaikum
Assalamualaikum ya khabibi
Assalamualaikum ya khabibi

Mbalamwezi imetanda
Ishara dunia tulivu
Jifunge upande kanga
Mkulima nichume mbivu
Farasi me wako panda
Sichoki Sina uvivu
Deka katoto kachanga
Upo bahari tulivu
Nimekosa ndege wa anga
Namtuma tuyui
She kwako kunipamba
Kwa maneno mazur
Khan oooh Sina mganga wa kunipa kiburi
Sijui kiringe me najua kitanda
Kuifanyia shughuri

Assalamualaikum
Assalamualaikum ya khabibi
(Assalamualaikum ya khabibi)
Assalamualaikum ya khabibi

Related

ADVERTISEMENT