SHARE

Read 'Pita Kule' Lyrics by Jaivah Ft Marioo

SHARE

Read Pita Kule Lyrics By Jaivah Ft Marioo. The song marks another time that Jaivah and Marioo have collaborated.

READ ALSO: Jaivah shares the microphone with Marioo in his new single 'Pita Kule'

Read 'Pita Kule' Lyrics By Jaivah Ft Marioo Below:

Aah Uyasbona Siyenzani

Awee Aweee Awee Aweee

 Awee Aweee Awee Aweee

Na kila siku mnaniona natafuta

Na mnapiga majungu

Napigwa jua mchana kutwa

Usiku kucha,nasebenza..Sebenza..Sebenza

Na kila siku mnaniona natafuta

Nyie mnapiga majungu

Napigwa jua mchana kutwa

Usiku kucha,nasebenza..Sebenza..Sebenza

Sasa acha nijipooze niponde mali

Acha nijipooze nigonge glass

Acha nienjoy nimetoka mbali

Na ukiniona pita kwa mbali

Sasa acha nijipooze niponde mali

Acha nijipooze nigonge glass

Acha nienjoy nimetoka mbali

Na ukiniona pita kwa mbali

Chorus

Nasema tena pita kule

Pita pita pita pita pita Pita kule

Eish Oya pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule

Eeh

Nasema pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule

Eish Oya pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule

Wonke umuntu ithi Jaivah..Jaivah Ithi Jaivah..Jaivah

Cula nami ithi Jaivah..Jaivah

Ithi Jaivah..Jaivah

Everybody say Jaivah..Jaivah Say Jaivah..Jaivah

Watu wote sema Jaivah..Jaivah Jaivah..Jaivah

Mmmmmmh aaaah Ayayaya aaah Mmmmh aaah Ayayaya aaah

Mmh Aah Ayayaya aaah Mmmmh aaah Ayayaya aaaah

Verse 2(Marioo) Alooooooh!! Mmmh..Shiiih

Awee kulanina

We si unanisema vibaya kulanina

Aah si unasemaga hunipendi kulanina Sa mbona ukiniona unagwaya kulanina

Unang’ata unapuliza Mdio kumaanisha nini

Ama unataka chapati (ama unataka chapati)

Ama unataka wolololoooh (ama unataka wolololo) Ama unataka kutrend (ama unataka kutrend)

Ama unataka wolololoooh (ama unataka wolololo)

Yani kama utani

Tena nje ndani Ukicheka na Nyani Mbona anakutoa roho

Oooh..ooh..ooh atakutoa roho

Yani kama utani

Tena nje ndani Ukicheka na Nyani Mbona anakutoa roho

Oooh..ooh..ooh atakutoa roho

Chorus

Nasema tena pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule

Eish Oya pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule

Hook

Wonke umuntu ithi Jaivah..Jaivah Ithi Jaivah..Jaivah

Cula nami ithi Jaivah..Jaivah

Ithi Jaivah..Jaivah

Everybody say Jaivah..Jaivah Say Jaivah..Jaivah

Watu wote sema Jaivah..Jaivah Jaivah..Jaivah

Shiiih

Yani kama utani

Tena nje ndani Ukicheka na Nyani Mbona atakutoa roho

Oooh..ooh..ooh atakutoa roho

Related

ADVERTISEMENT