SHARE

Read 'One Call' Lyrics By Otile Brown & Ruby

SHARE

Read One Call Lyrics By Otile Brown & Ruby. The collaboration marks another time Otile Brown has collaborated with a Tanzanian artist.

READ ALSO: Read Superwoman Lyrics By Phina Ft Otile Brown

One Call Lyrics

Ukihitaji rafiki unipigie 

Na nitafika hata kama simu hujakata

Na kifuani mwangu ntakuliwaza 

Na nitakesha nikikulinda ukilala 

Najua ile unataka ile unataka najua

unapenda unampenda yule 

Na tena mimi sina wivu 

Shujaa wako one call one call away 

Call me 

One call one call away call me 

If you need call me mapenzi hayafai kuumizwa sasa nini unampendea 

Mapenzi hayafai kuliza 

Kutwa unashinda unayang'ang'ania wakati inakucost furaha yako 

Oooh no ooh no no 

Najua kile unataka kile unataka 

Yule unampenda unampenda yule 

Na tena mimi sina wivu ila naomba ile siku

kujielewa ije siku uje kuijua thamani yako 

One call away ukinihitaji mpenzi nipigie simu yangu 

One call away ukinihitaji mpenzi shujaa wako but I'm one call 

One call away call me if you need me call me one call 

One call away call me if you need me call me 

One Call

Read the Other Latest East African Music Lyrics Here. Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

Related

ADVERTISEMENT