Nitongoze Lyrics By Rayvanny Featuring Diamond Platnumz
Read Nitongoze Lyrics By Rayvanny Featuring Diamond Platnumz. The song has been well received in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Tanzania's Rayvanny Makes Another Youtube Record In Africa | SEE DETAILS
Read Nitongoze Lyrics By Rayvanny Featuring Diamond Platnumz Below:
Weka shida chini glasi juu tujipongeze,
Usijali wanafki wambea chapa mziki wote Tucheze
Eeeh Vanny Boy
Chui
Platnumz
Maswali mengi kwa waiter hauna hela, nini (Eeti!?)
Hiyo shingapi hii shingapi hauna hela nini
Maswali mengi kwa waiter hauna hela, nini (Eeti!?)
Hiyo shingapi hii shingapi hauna hela nini
Nimeachwa staki tena maswali
Naenda Beach kula upepo wa Bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo lipo wazi sema nitakubali
Eti unataka?
Eti unanipenda
Basi nitongoze
Unantaka?
Eti unanipenda
Basi nitongoze
Unantaka?
Eti unanipenda
Basi nitongoze
Eeeh Bwana Weee
Hela ya kodi
Nainywea Pombe
Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde
Na kama hayanogi mapenzi usikonde
Akiringa akwende Chukua mwingine sio kinyonge
Yu kwapiii?
Yu kwapiii huyo!
Basi nitongoze
Yu kwapiii?
Yu kwapiii huyo!
Basi nitongoze
Yu kwapiii?
Yu kwapiii huyo!
Basi nitongoze
Nimeachwa staki tena maswali
Naenda Beach kula upepo wa Bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo lipo wazi sema nitakubali
Eti unataka?
Eti unanipenda
Basi nitongoze
Unantaka?
Eti unanipenda
Basi nitongoze
Unantaka?
Eti unanipenda
Basi nitongoze
Unantaka?
Eti unanipenda
Basi nitongoze
Eeeh Bwana Weee
Onyesha Boxer Ash tuone boxer
Nyenyua shati ingia kati tuone boxer
Onyesha Boxer Ash tuone boxer
Nyanyua shati ingia kati tuone boxer