SHARE

Nimezama Lyrics by D Voice featuring Zuchu

SHARE

Read and sing aloud Nimezama Lyrics by D Voice featuring Zuchu. Fans in Tanzania and East Africa have well received the song in general.

A Photograph of Tanzanian singer, D Voice

Nimezama Lyrics by D Voice featuring Zuchu

Habibi nkuulize swali kipi chakukuongeza

Kama unaona bado sema kilichopungua

Vingine vyote tayari madeko kunidekeza

Umeniwezea hapo chali mi ushaniua

Penzi lako ni mradi naweza kulikopea

Aaah mamlaka yenye kodi watudai nafidia

Aah mana raha zimeziidi mpka zanimwagikia

Mmh mana raha zimezidii mpaka zanimwagikia

Ufukweniii

Ufukweni mwa bahari

Aaah mikono

Mikono tumeshikana

Aaah mawimbi

Mawimbi yameshamili

Nyoyo zimee

Nyoyo zimesemezana

Kwako nimezama

Kwako nimezama

Kwako nimezama

Kwako nimezama

Aah upande wa kanga ukinivalia

Kiunoni shanga zinachungulia

Ndo ugonjwa wangu ndo ugonjwa wangu

Wala siendi kwa mganga wakaniibia

Mama nyakanga nimemrithia

Sio shida zangu sio shida zangu

Naa huba lako birianii

Lenye shombo shombo la mbuzi

Aiih napenda unavyonisifu laini

Aah nafaa kwa matumizi

Ufukweniii

Ufukweni mwa bahari

Aaah mikono

Mikono tumeshikana

Aaah mawimbi

Mawimbi yameshamili

Nyoyo zimee

Nyoyo zimesemezana

Kwako nimezama (kwako nimelaa niko lala lala)

Kwako nimezama (nime nimezama)

Kwako nimezama (ooh nimezaa nimezamaa)

Kwako nimezama

Ili penzi limemshindwa shetwani mkaa kichwani

Mtaliweza nyingi wapambe wakaa vibarazani

Ili penzi limemshindwa shetwani mkaa kichwani

Mtaliweza nyingi wapambe wakaa vibarazani

Read Other Latest Song Lyrics Here

Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

Related

ADVERTISEMENT