Read Nice Couple Lyrics By Aslay
Read Nice Couple Lyrics By Aslay. The song has been well received in Tanzania and the whole of East Africa in general.
READ ALSO: Read Mozzah Lyrics By Aslay
Read Nice Couple Lyrics By Aslay Below:
Umenishika mwenzio
Umeushika ubongo moyo mpaka roho
Oooh mumy looo
Hot stories
Umeniteka teka mtoto wa mwenzio
Mimi mali yako nakuita
Usisite mpenzi njoo
Tena wa peke yako itika
Nidalike kidali pooo pooo
Nataka kieleweke
Mi nawe nikuvishe pete
Nikuoe tusherehekee tusherehekee
Mimi na weeee eeeh
Penzi letu teketeke
Mi na weeee
Mapepo maseke
Tuyakemeee
Tuishi milele
Mimi na wewe
Mbele kwa mbele
Aishololo Aishololo
Waaache wabanwe choo
Wabanwe choo
Weeeee
Tuwarushe roho tuwarushe roho
Wenye vijiba vya roho
Ai Ai Ai
Mpenzi weeee
Mpenzi weeee
Kalizamisha hadi mwingi
Kutoka siezi eeeh
Nampa mia tisini
Fundi wa mapenzi eeeh
Yeye na mimi
Mimi na yeye
Daima
Wazazi wake ni wape nini
Kwa hiki kizazi eeeh
Watafaidika vipi kwa
Yao malezi eeeh
Azikwe yeye azikwe mimi
Amina
Nonstop
Mi na yeye nonstop
Nonstop
Mi na wewe non stop
Nataka kieleweke
Mi nawe nikuvishe pete
Nikuoe tusherehekee tusherehekee
Mimi na weeee eeeh
Penzi letu teketeke
Mi na weeee
Mapepo maseke
Tuyakemeee
Tuishi milele
Mimi na wewe
Mbele kwa mbele
Aishololo Aishololo
Waaache wabanwe choo
Wabanwe choo
Weeeee
Tuwarushe roho tuwarushe roho
Wenye vijiba vya roho