Read Karibu Lyrics By Kusah
Read, sing aloud and enjoy Karibu Lyrics By Kusah. The song is produced by the prolific Tanzanian music producer, Cukie Dady.
READ ALSO: Shemeji Yenu Lyrics By Kusah | READ
Read Karibu Lyrics By Kusah Below:
VERSE 1
Najua ni majaribu
Ila jaribu kurudi nyuma si mbaya
Hot stories
Najua mapenzi yanakutesa
Umekondeana
Nimejaribu kuongea na baby
Ooh baby huyu mwenzetu ata-dead
Huwezi amini amekubali
Yuko radhi muwe wawili
BRIDGE
Ila amesema ukirudi we mwenzetu
we upunguze na mdomo
Yale maneno ya kiburi we mwenzetu
we upunguze na mdomo
Na amesema ukirudi we we mwenzetu
We upunguze na mdomo
Yale maneno ya kejeli we mwenzetu
We upunguze na mdomo
CHORUS
Karibu mwaya karibu
Usisuse karibu
Usione haya karibu
Usikonde
Karibu mwaya karibu
Usisuse karibu
Usione haya karibu
Usikonde
VERSE 2
Najua umesharopoka mengi ushasema
Binadamu tumeumbiwa maneno
Hata umeme nao unakosa luku
Nitashangaaje binadamu kudema
Najua unataka hutaki
Unachotaka hupati na
Kurudi kwangu bahati
Ila ukikumbuka nafsi inakuuma
BRIDGE
Nimejaribu kuongea na baby
Ooh baby huyu mwenzetu ata-dead
Huwezi amini amekubali yuko radhi muwe wawili
Ila amesema ukirudi we mwenzetu
We upunguze na mdomo
Yale maneno ya kiburi we mwenzetu
We upunguze na mdomo
Na amesema ukirudi we we mwenzetu
We upunguze na mdomo
Yale maneno ya kejeli we mwenzetu
We upunguze na mdomo
CHORUS
Karibu mwaya karibu
Usisuse karibu
Usione haya karibu
Usikonde
Karibu mwaya karibu
Usisuse karibu
Usione haya karibu
Usikonde