SHARE

Read Habibi Lyrics By Rayvanny

SHARE

Read And Sing Aloud Habibi Lyrics By Rayvanny. The Bongo Fleva song has been well received by fans in Tanzania

READ ALSO: Read Nakupenda Lyrics By Rayvanny

Read Habibi Lyrics By Rayvanny Below:

Mmmh mashallah

Mama mkwe shikamoo, huyu mtoto umetotoa ni balaa

Tumbo si la kwashakoo, shepu linatukomoa nyie

mwenzenu huku kumbe ninapendwa, afu hamsemi

Nyie, mapenzi yanapamba moto, amkeni amkeni

Nahisi udongo wako Mungu alichanganya viwili

misheni na maziwa kwa mbali, pilipili

Udaku damu wa Makka uzidi kunawiri, sura yako

Kichwani hakusita kumiminia akili

Moyo wa upendo na wenye kusubiri

Shepu kwa hasira kajaza mara mbili, zawadi yako

Aah kupendwa raha mkipendana, hakuna karaha

aaah, napewa raha karibu jeraha

aah

Habibi, habibi

Habibi, habibi

Habibi, habibi I love you, I want you

Habibi, habibi

Habibi, habibi

Habibi, habibi I love you, I want you

Aahh mmmh

Mahaba, yananimwagikia

nimekabwa, hataki niachia

Na, kwake nadekezwa nadeka

Kina fulani wanakereketwa

Namuomba Muumba akulinde malikia

Naomba nisikukose kwa dunia

Wakikugusa ni mapanga Tarime

Ya tisa ya mie mama Dorime

wasokupenda waende wakalime

Aah kupendwa raha mkipendana, hakuna karaha

aaah, napewa raha karibu jeraha

aah

Habibi, habibi

Habibi, habibi

Habibi, habibi I love you, I want you

Habibi, habibi

Habibi, habibi

Habibi, habibi I love you, I want you

Related

ADVERTISEMENT