Read Gibela Remix Lyrics By Rayvanny Ft Chino Kidd
Read Gibela Remix Lyrics By Rayvanny Ft Chino Kidd. The song has been well received in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Read Shake Lyrics By Kayumba Featuring Rayvanny
Read Gibela Remix Lyrics By Rayvanny Ft Chino Kidd Below:
Tangazo tangazo tangazo
Watoto wazuri hawataki pesa za mawazo
Ukimtaka uwe na hela
Salamu nyingi stori nyingi unamkera
Ukimtaka uwe na hela
Salamu nyingi stori nyingi unamkera
Maana makeup bei, viatu bei na nywele bei
Vinataka money
Kama uko teh usisogee
Polepole utamu atakupa nani
Wanaume hatuongei tunafanya vitendo
Yaaani bora tufilisike wafurahi warembo
Mwanaume pata pesa njoo uchukue
Umeshazileta njoo uchukue
Ama unataka mmmmh njoo uchukue
Choresha choresha unachoresha
Nimekubamba kubamba kubamba unachoresha
Choresha choresha unachoresha
Nimekubamba kubamba kubamba unachoresha
Oya pombe sio sigara
Pombe sio sigara
Oya pombe sio sigara
Oya pombe sio sigara