SHARE

Desh Desh Lyrics By Lavalava | READ

SHARE

Read And Enjoy Desh Desh Lyrics By Lavalava. The song is Lavalava's first release in 2022.

Desh Desh Lavalava Lyrics

READ ALSO: Napona Lyrics By Nandy Ft Oxlade

VERSE 1

Mola kammumba Hana Mfano Weee 

Mzuri wa Sura na Roho Na Njema Tabia Iyaaaa. 

Unyagoni Kafundwa kwa makungwi somo weee 

Mahaba Kayajaza ndoo Yananimwagikia Iyaaaa

Natamani Nimtaje Hata Jina ila Naficha Naficha Naifanya siri yangu 

Kina Fulani wale wakusigina mkaleta mapicha mapicha akatoroka Ndege wangu

Si mrefu si mufupi (ah eh) 

Si Mweupe Si Mweusi (ah eh) 

Rangi Yake ni ya katikati 

Kasema kwangu hafurukuti (ah eh) 

Kwengine Anaogopa Nuksi (ah eh) 

Mi ni wake milele Haniachi ndo maana

BRIDGE

Nampenda Mpenda (nani)

Kijana mmoja (nani)

Amenifika Kwa roho

Makopakopa (kopa)

Nampenda Mpenda (nani)

Kijana mmoja (nani)

Ila Kumtaja oooh naogopa ogopa

Kwa jina namuhifadhi

CHORUS

Desh Desh Desh Desh, Msije kuninyakulia 

Desh Desh Desh Desh, Kipenzi changu Jamani 

Desh Desh Desh Desh, Mkaja kuniharibia 

Desh Desh Desh, Penzi Likawa Mashakani

Nananaa! Nna Nna 

Nananaaa! Nna Nna! 

Nananaa! Nna Nna!

VERSE 2

Najua Najua Roho Zinawauma Hampendi Kuona Mwenzenu Na Nawiri

Najua mwenzenu najua Mwakesha Kujituma Kutwa kwa masangoma Yangu Kuyatabiri

Mlosema nimeachika Hainifiki mikosi Mola ndo mpaji

Nyongo Mtazitapika Mchomwe Jua la Utosi kesheni kunijaji

Mwenzenu kila kukicha kabla kupewa misosi Masaji masaji

Tunavyowakasirisha yani hata tukiposti hataki nimtag

Enhee si mtu wamagazeti wala page za udaku ilo mkae mjua Hataki Taki Eenhe

Enheee mambo yake siri nyeti poleni washakunaku wala msijisumbue kumsachi sachi

BRIDGE

Nampenda Mpenda (nani) Kijana mmoja (nani)

Kijana mmmoja (nani)

Amenifika kwa roho Makopa kopa (kopa)

Nampenda mpenda (nani)

Kijana mmoja (nani)

Ila kumtaja oooh naogopa ogopa

Kwa jina namuhifadhi

CHORUS

Desh Desh Desh Desh

Msije kuninyakulia Desh Desh Deeeesh

Kipenzi changu jamani

Desh Desh Desh Desh

Mkaja Kuniharibia

Desh desh Desh

Penzi likawa mashakani

Nananaa! Nna Nna!

Nananaa! Nna Nna!

Nanananaa! Nna! Nna!

Related

ADVERTISEMENT