Read 'Dear X' Lyrics By Harmonize
Read And Sing Dear X Lyrics By Harmonize. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa.
READ ALSO: Read Hawaniwezi Lyrics By Harmonize
Read Dear X Lyrics By Harmonize Below:
Hello Dear Ex
Nimepata tetesi
Za kwamba unanisema
Ili nionekane si mwema
Pengine una stress
Mara umekonda mwepesi
Kwangu ukimya sio ukilema
Ila nachunga vya kusema
Maana niliubeba msalaba
Ikawa mi ndo mama mi ndo baba
Nikajichanga tujaze kibaba
Mbona hausemi
Kiume nilishukuru
Nikapangusa matako nikakuacha uende
Ukawe huru
Range na duka ni vyako
Nibaki na makende
Na kama ulidhani ntafeli
Unangoja basi uko feri
Siku nikilewa mitasema ukweli
Nchi ilivyogo na matapeli
Sina hasira wala kinyongo
Ila sipendi uongo
Vijembe jembe na madongo
Ukitaka kutrend
Raundi hii hainaga
Hainaga kutia huruma
Hainaga kutia huruma
Hainaga kutia
Hivi tuseme ndo nimejipata
Hainaga kutia huruma haina
Hiiiiiii
Hainaga kutia
Maana mbona nazidi kutakata
Hainaga kutia huruma hainaga
Haiiiiii
Hainaga
Hainaga kutia huruma haina
Hiiiiiii
Hainaga kutia
Peke yangu nisingeweza
Nisingeweza
Kuna kitu Mungu kaniongeza
Kaniongeza
Ona nazidi kupendeza
Ninapendeza
Na niko bize na Feza
Unacheka cheka tukuone ume-move on
Mara unatuonyesha vya nguoni
Uhali gani uko moyoni sema sema
Unacheka cheka tukuone ume-move on
Mara unatuonyesha vya nguoni
Uhali gani uko moyoni sema sema
Na kama ulidhani ntafeli
Unangoja basi uko feri
Siku nikilewa mitasema ukweli
Nchi ilivyogo na matapeli
Sina hasira wala kinyongo
Ila sipendi uongo
Vijembe jembe na madongo
Ukitaka kutrend
Raundi hii hainaga
Hainaga kutia huruma
Hainaga kutia huruma
Hainaga kutia
Hivi tuseme ndo nimejipata
Hainaga kutia huruma haina
Hiiiiiii
Hainaga kutia
Maana mbona nazidi kutakata
Hainaga kutia huruma hainaga
Haiiiiii
Hainaga
Hainaga kutia huruma haina
Hiiiiiii
Hainaga kutia