Read Chapati Lyrics by Zuchu
Read and sing aloud Chapati Lyrics by Zuchu. The song is well received by fans in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Read Seasons Lyrics By Nana Fofie Ft Zuchu
Read Chapati Lyrics by Zuchu below:
Anhaaaa, aaaaa, Anhaaaa, aaaaa,
Dulla, Dulla, Dulla
Anataka kula, Dulla hataki Andazi
Anataka kula, Dulla hatiki Viazi
Dulla anataka kula,
Dulla, Dulla, Dulla, Anataka,
Basi
kitendawili, Tega, kitendawili, Tega
kitendawili, Tega, kitendawili, Tega
Kitu flati, Kitu laini, katikati alie na maini
Kitu flati, Kitu laini, katikati alie na maini
Chapati, Chapati, Chapati,
Chapati, Chapati, Chapati,
Chapati, Chapati, Chapati,
Achuchuu, Achuchuu,, Achuchuti,
Chapati,Chapati,Chapati,
Kwani mmeiwka nini mimi naipenda
Kwani mmeweka nini mimi naitaka hiyo
Kwani mmeiwka nini mimi naipenda
Kwani mmeweka nini mimi naitaka hiyo
Inateleza, Tamu inateleza
Inateleza, Tamu inateleza
Basi
kitendawili, Tega, kitendawili, Tega
kitendawili, Tega, kitendawili, Tega
Kitu flati, Kitu laini, katikati alie na maini
Kitu flati, Kitu laini, katikati alie na maini
Chapati, Chapati, Chapati,
Chapati, Chapati, Chapati,
Chapati, Chapati, Chapati,
Achuchuu, Achuchuu,, Achuchuti,
Chapati, Chapati, Chapati