Binadamu Lyrics by Chino Kidd Ft Daway
Read and sing aloud Binadamu Lyrics by Chino Kidd Featuring Daway. The song has been well received by by fans in Tanzania and East Africa .
READ ALSO: Read 'Andazi' Lyrics by Lulu Diva Ft Rayvanny, Chino Kidd & Whozu
Read Binadamu Lyrics by Chino Kidd Ft Daway below:
Fumba macho fumbua
Dunia ndo naiona chungu
Mengi yananisumbua
Nataka niyatoe kwa uvungu moyoni
Sijazaliwa wakishua
Naamini ni mipango ya Mungu
Haya sikuyajua jamaa
Ya walimwengu ni wengi
Na ndo maana nikamuomba mama
Aniombee bado mi nahustle
Pindi napambana wapo wanaungana
Wenye Ma-range mi nisipate Passo
Ni wabaya hao
Hao haooo oooh
Japo kuna muda tunacheka nao
Binadamu hao
Hao haoo oooh
Japo tukipata tunakula nao
Binadamu banaah eeeeh wabaya
Kumbe binadamu wabaya wabayaa baya
Wabayaa sijui walitaka nife wabayaa
Kumbe binadamu wabayaa wabayaa
Wabayaaa hao
Wema wangu umeniponza
Sasa machungu ya dunia nayaonja
Niliishi vizuri na ndugu zangu
Leo hii wananizonga
Huruma yangu imeniponza
Sasa machungu ya dunia nayaonja
Leo ndo naona maadui zangu
Wameanza jitokeza
Imagine njeee unaishi na watu vizuri
Lakin unaonekana kama sifuri
Na wanatangaza mimi kiburi
Ili nionekanecmi fedhuli
Ni wewe pekee unaeijua kesho yangu
Ni wewe pekee unayejua hustle zangu
Ni wewe pekee unayelinda ndugu zangu
Ni wewe pekee utayemlinda mama angu
Binadamu banaah eeeeh wabaya
Kumbe binadamu wabaya wabayaa baya
Wabayaa sijui walitaka nife wabayaa
Kumbe binadamu wabayaa wabayaa
Wabayaaa hao