Read 'Ameyatimba Remix' Lyrics by Whozu Ft Billnass & Mbosso
Read Ameyatimba Remix Lyrics by Whozu Ft Billnass & Mbosso. The song is well received by fans in Tanzania and beyond.
READ ALSO: Read Ameyatimba Lyrics By Whozu Ft Billnass
Ameyatimba Remix Lyrics
Mshike huyo hatoki mtu
Nimeupaka mkongo hatoki mtu
Mshike huyo hatoki mtu
Hot stories
Alinitia usongo hatoki mtu
Alinitia usongo hatoki mtu
Kashanipiga sana vizinga
Leo kajichanganya kayatimba
Kanipiga sana vizinga
Leo kajichanganya kayatimba
Oya alitaka kunichukulia poa
Kumbe mi mwenyewe ni mtoto
Wa town
Mara Ooh nitakupa ukinioa
Kashaniona boya kutwa
Kunipiga sound
Alitaka kunichukua poa
Kumbe mi mwenyewe ni mtoto
Wa town
Mara Ooh nitakupa ukinioa
Kashaniona boya kutwa
Kunipiga sound
Eti honey leo sitoki niko
Na mamy fyoko
Mara honey dady yuko nyumbani
Nyokooooo
Paparaparira parira pa parira
Perepeperire pepe rire pepe
Ameyatimba Aaaaaaaaah
Ameyatimba Oooooooh
Ameyatimba Aaaaaaaaah
Ameyatimba Oooooooh
Mtoto kavamia pombe kakutana na gang
Kadhania Konde (Konde)
Mtoto kadandia tonge yupo danger days
Mi napambania kombe (Kombe)
Mtoto fakamia yote
Anavyochochea moto tukalipuke wote
Mtoto kaniambia chonde
Kakutana na beki nachapa miguu yote
Alitaka kunichukulia poa
Kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town
Mara oooh nakupenda ntakuoa
Ushaniona boya kutwa kunipiga sound
Alitaka kunichukulia poa
Kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town
Mara oooh nakupenda ntakuoa
Ushaniona boya kutwa kunipiga sound
Paparaparira parira pa parira
Perepeperire pepe rire pepe
Ameyatimba Aaaaaaaaah
Ameyatimba Ooooh
Ameyatimba Aaaaaaaaah
Ameyatimba Oooooooh