SHARE

Read Acha Nipepe Lyrics By Maarifa

SHARE

Read Acha Nipepe Lyrics By Maarifa. The song is well received by fans in Tanzania and is now making waves in East Africa.

READ ALSO: Read Grateful Lyrics By Meddy

Read Acha Nipepe Lyrics By Maarifa Below:

Naitwa Maarifa 

Hainunui pesa furaha ila unaua

presha na njaa 

Maana hata ukiwa na njaa

inaluhitaji miguu kupaa 

Inamwagika sasa walisema haitojaa 

Hawasumbui tena si utani Maan 

Walioko nje ndio wanaotujua kiundani 

Ndio maana siogopi wakisema wanatanipanda kichwani 

Huwa nawaza watanipanda kwenye kichwa gani 

Nimejipanga kuwa bosi bahili houni Chawa 

Kujiamini lifestyle Till I Die Con Sawa 

Sishirkishi mtu na napepea huoni mbawa 

Toboa ili wakuheshu Champion Kontawa 

Nipo mwenyewe sina ndugu wa kuungana 

Siogopi dhambi nitatubu  na kuungama 

Ukiniona hapa usifikiri nimefuzu jana 

Nilishazibwa mdomo apewe bubu nafasi ya kuchana 

Acha Acha nipepee Acha Acha nipepee 

Kwa hiyo Acha Acha nipepee 

Kwa hiyo Acha Acha nipepee 

Nilizaliwa nikalia nikifa watalia mbegu

liyochotwa kwa mkono ndo ijazayo magunia 

Na sio utani nakuapia waliotumwa

kunituliza wakakutwa wametulia 

Tupo kizazi cha streams sahau

kuhusu kanda Bongo Man 

Simba wamekubali alfu mbuzi kagoma 

Wakichana nashona sio masihara bosi tangu

baada ya show nalipwa mshahara wa makofi 

Nipo mwenyewe sina ndugu wa kuungana 

Siogopi dhambi nitatubu  na kuungama 

Ukiniona hapa usifikiri nimefuzu jana 

Nilishazibwa mdomo apewe bubu nafasi ya kuchana 

Acha Acha nipepee Acha Acha nipepee 

Kwa hiyo Acha Acha nipepee 

Kwa hiyo Acha Acha nipepee

Kibaha Finest Mtoto Wa Baba

This goes to all Soldiers 

Related

ADVERTISEMENT