Read 'Achii' Lyrics By Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide
Read and sing aloud Achii Lyrics By Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide. The song has been well received by fans in Tanzania.
READ ALSO: Diamond Platnumz joins hands with Koffi Olomide in a new song 'Achii'
Read 'Achii' Lyrics By Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide Below:
Chu! chu! chu!
Chu! chu! chu! chu! chu!
Eeeh eeeh, wangela wanaingia
(Le général Dangote)
Oooh oooh, wenye mji wamevamia
(Le grand ?)
Eeeh eeeh, wangela wanaingia
(Mama Dangote)
Oooh oooh, wenye mji wamevamia
(Le grand ?)
Ona mpaka leo, oh majibu sipati
Yaani mpaka leo nabaki katikati
Rafiki rafiki
Rafiki wa kweli ni nani
Rafiki rafiki
Ni ndugu ama jirani
Umeparty naye kwa starehe
Wakulia nawe msibani
Wakukosa akuongezee
Ama yule wa nipe nami
Mwenzenu nimekosa
Rafiki yangu pesa
Rafiki yangu pesa
Rafiki yangu pesa
Rafiki yangu pesa
Asa chi achi (achii)
Chibu Dangote (achii)
Yama chi achii (achii)
Dachidi benzi (achii)
Asa chi achi (achii)
Achibua geto (achii)
Akuombe chii ni chi (achii)
Chipolopolo asa chii
Achi! chi! chi!
Achi! chi! chi!
(La présidente Mama Samia)
[Koffi Olomide]
(La présidente Mama Samia)
Ey, achike chike achiki
Achike chike achiki
Achike chike achiki
Achike chike achiki
This is obao
Dabolo kings
Dansi bito, dansibide
Dansi sukari
Tobina!
Dansimbakamu
Dansibideda dansibi
Zindebakune zinda
Zindebakune zinda
Usepeta zinda
Usepeta zinda
Zinda bagolo zinda
Osepenza zinda
Mama lia bangondo lia
Lia bangondo lia
Mama lia bangondo lia
Lia bangondo lia
[Diamond Platnumz]
Chiriwaango
Chiriwaango babu
Chiriwaango
Chiriwaango babu
Oh niache in the moody leo
Nataka niparty nipartyke
Niache nkafurahiye
Nataka niwimbotwike
Niache in the moody leo
Nataka niparty nipartyke
Niache nkafurahiye
Nataka niwimbotwike
Oh niache in the moody leo
Nataka niparty nipartyke
Niache nafuraha leo
Nataka niwimbotwike
Niache in the moody leo
Nataka niparty nipartyke
Niache nafuraha leo
Nataka niwimbotwike
Wambie marafiki
(Sa nimebado bombo)
Ooh mimi leo
(Sa nimebado bombo)
Ah na wanangu
(Sa nimebado bombo)
Ai mimi hapa
(Sa nimebado bombo)
Yani mwenzenu
(Sa nimebado bombo)
Nasema leo
(Sa nimebado bombo)
Pusa pusa pusa
Pusa mama pusa
Pusa babe pusa
Yaka (taka)...