SHARE

Read Tushaachana Lyrics By Chiby & Mabantu

SHARE

Read And Sing Aloud Tushaachana Lyrics By Chiby & Mabantu. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.

READ ALSO: Read Shemeji Lyrics By Mabantu Ft Baddest 47

Read Tushaachana Lyrics By Chiby & Mabantu Below:

Tushaachana tunakumbushana tu

Si wanapenda ku-bang 

Si tushaachana tunakumbushana tu

Tushaachana tunakumbushana tu 

Si tushaachana tunakumbushana tu

Tushaachana tunakumbushana tu 

Tunatafutana tukijisikia 

Kuna chimbo letu huko la kujichimbia 

Ukikuta kwa phone ananipigia

Ujue kaumiss mguu wa mtoto 

AKA ngamia 

Tunapasha kiporo kwa kujificha 

Kwanza hawamgusi pale nnapomshika 

Oya Ex hanuniwi utadhililika 

Kama unajua kununa yanunie maisha 

Ex hanuniwi bwana weeee 

Si tushaachana ila tunakumbushana tu yes  Tushaachana tunakumbushana tu 

Si tushaachana tunakumbushana tu Tushaachana tunakumbushana tu 

Si tushaachana tunakumbushana tu Tushaachana tunakumbushana tu 

Ex akinimiss na mimi nammisi 

Ex akinitaka na mimi namtaka 

Ex akiniita sasa kwanini nisiende 

Ex akiniomba sasa kwanini nisimpe 

Tunapasha kiporo kwa kujificha 

Kwanza hawamgusi pale nnapomshika 

Oya Ex hanuniwi utadhililika 

Kama unajua kununa yanunie maisha 

Kula chuma icho 

Kivumbi leo 

Si tushaachana ila tunakumbushana tu

Tushaachana tunakumbushana tu 

Si tushaachana tunakumbushana tu

Tushaachana tunakumbushana tu 

Si tushaachana tunakumbushana tu

Tushaachana tunakumbushana tu 

Si tushaachana tunakumbushana tu

Tushaachana tunakumbushana tu 

Ex akinimiss na mimi nammisi 

Ex akinitaka na mimi namtaka 

Ex akiniita sasa kwanini nisiende 

Ex akiniomba sasa kwanini nisimpe 

Related

ADVERTISEMENT