Read Tunapendana Lyrics By Madini Featuring Anjella
Read Tunapendana Lyrics By Madini Featuring Anjella. The love song has been well-received by fans in Tanzania and beyond.
READ ALSO: Read Champion Remix Lyrics By Kontawa Featuring Harmonize
Read Tunapendana Lyrics By Madini Featuring Anjella Below:
Oooh baby mwenzako napenda ile
michezo chumbani tukichezaga
Oooh tukichezaga
Najua hawapendi
Wakituona tukiwa wawili viroho vinawaumaga
Oooh vinawaumaga
Kifo cha mende chalichali hainogi Chai bila sukari
Ooooh hainogi hainogi
Nakosaga raha ukiwa mbali
Weka kama meli mi bandari
Oooh bandari bandari
Vile tunapendeza Uuuuh
Unaniweza
Baby tunapendezana unaniweza
Unanipendaa nami nakupenda
Unanipendaa nami nakupenda
Unanipendaa nami nakupenda
Tunapendana
Unanipendaa nami nakupenda
Unanipendaa nami nakupenda
Unanipendaa nami nakupenda
Tunapendana
Nataka nikuzalie mapacha we ndo funguo mi ndo kitasa
Nimefungua upya kurasa Uuuh
Unafikisha pale nataka
Kwenye mtego mi nimenasa
Kama mdudu we washawasha Uuuh
Kulizwa lizwa mwenzio sipendi
Sitaki kuchaguliwa mpenzi
We pekee unanitosha
Unanitosha
Kama daladala mi wako sitendi
Kwenye kilima njia usi-change
Mi nahofia kuondoka
Aaah kudondoka
Mababy sio kama nashindwa kusema yaliyonikuta mwenzenu
Kikubwa uhai nahema
Aaaah
Vile tunapendeza Uuuuh
Unaniweza
Baby tunapendezana unaniweza
Unanipendaa nami nakupenda
Unanipendaa nami nakupenda
Unanipendaa nami nakupenda
Tunapendana
Unanipendaa nami nakupenda
Unanipendaa nami nakupenda
Unanipendaa nami nakupenda
Tunapendana