SHARE

Read On Fire Lyrics By Ali Kiba

SHARE

Read On Fire Lyrics By Ali Kiba. The song has been well received by fans in East Africa.

READ ALSO : Read 'Mahaba' Lyrics By Ali Kiba

Read On Fire Lyrics By Ali Kiba Below :

Ooooh mpenziii

Umejawa usafi huna bayaa eeeh

Nimepatia sijakoseaa eeeeh

Jamanii this girl's, she is On fire

Haki ya Mungu sito-retire

Umenyimwa hata tabia mbaya

Umenyimwa paka figure mbaya

Umenyimwa paka sura mbaya

Eeeh mbaya girl you on fire

Napenda ukidensi slowly ni hatari

Ukidensi slowly ni hatar Oooh fire

Girl you are fire girl fire

Oooooh

Tell me what you see

When you look at me

Mi nakupendaga unanipendaga

Ooh she your love is real

Utakavyoniita tiii

Kwako I believe

Dunia yangu umeitawala kwingine sipo

Ikiwa mapenz karata kwako nimelamba kopa

Nakupenda paka naogopaa usijeondoka

Wanipatia faraja

Haya Mamae baraka dunia nzimaa

Umenipenda Mi

Sio simpo

Umenyimwa hata tabia mbaya

Related

ADVERTISEMENT