Mapenzi Ya Nairobi Lyrics by Rekles & Mejja
Rekles Lyrics
Get ready to enjoy Mapenzi Ya Nairobi Lyrics by Rekles & Mejja. With their infectious rhythms and vibrant storytelling, Rekles & Meja have created a musical experience that's bound to get you on your feet.
Mapenzi Ya Nairobi Lyrics - Rekles & Mejja
Mapenzi ya Nairobi sidai
Hot stories
Mapenzi ya Nairobi sidai
Mapenzi ya Nairobi sidai
Mapenzi ya Nairobi sidai
Mimi mapenzi ya Nairobi sidai
Lazma umwage noti ndo akunoki buda
Akikuuliza uko wapi, mwambie si shidake
Ndo ajue we si nani? Ndo ajue we si wake
Mimi mapenzi ya Nairobi sidai
Lazma umwage noti ndo njoti ikam
Akikuuliza uko wapi, mwambie si shidake
Ndo ajue we si nani? Ndo ajue we si wake
Mapenzi ya Nairobi sidai
Dem haezi kupenda kama huna ndae
Na si gari tu
Ukikuja na Demio anakudharau tu
Cashmoney, cashmoney
Love language yao cashmoney
Sura mbaya na cashmoney
Na unaishi Kilimani, utakula hawa mamanzi
Ukitaka manzi wa Nairobi
Mzinga roadtrip Lamu
Atakuambia ako free anakamu
Peke yake anapandaga matatu
Akiwa na wewe anapanda Uber
Ata make sure umetumia doh kumkula
Mapenzi ni kumlipia bills
Manzi wa Kanairo, hapo atakufeel
Cashmoney, cashmoney
Love language yao cashmoney
Sura mbaya na cashmoney
Na unaishi Kilimani, utakula hawa mamanzi
Ukitaka manzi wa Nairobi
Mzinga roadtrip Lamu
Atakuambia ako free anakamu
Peke yake anapandaga matatu
Akiwa na wewe anapanda Uber
Ata make sure umetumia doh kumkula
Mapenzi ni kumlipia bills
Manzi wa Kanairo, hapo atakufeel
Mimi mapenzi ya Nairobi sidai
Lazma umwage noti ndo akunoki buda
Akikuuliza uko wapi, mwambie si shidake
Ndo ajue we si nani? Ndo ajue we si wake
Mimi mapenzi ya Nairobi sidai
Lazma umwage noti ndo njoti ikam
Akikuuliza uko wapi, mwambie si shidake
Ndo ajue we si nani? Ndo ajue we si wake
Mimi mapenzi ya Nairobi sidai
Lazma umwage noti ndo njoti ikam
Akikuuliza uko wapi, mwambie si shidake
Ndo ajue we si nani? Ndo ajue we si wake
Mapenzi ya Nairobi sidai
Mapenzi ya Nairobi sidai
Mapenzi ya Nairobi sidai
Mapenzi ya Nairobi sidai
(Chain chain inaeza kuwa ya mtu saba)
Mapenzi ya Nairobi sidai
Mapenzi ya Nairobi sidai
Mapenzi ya Nairobi sidai
Mapenzi ya Nairobi sidai
(Unajua Chain chain inaeza kuwa ya mtu saba)
Acha niwape story, kuna fine girl
Tulipatana sato flani ndani ya bukla
Akaninice nikajichocha na nikamkuta
Figa fine, luku safi na pia ako na sura
One two nikatupa lugha
Ikifika pande ya mistari mi hujitambua
Si kujichocha ni kujibonga
Ukiuliza hadi mtaani wananijua
Tayari toto mali safi ashaingia box
Nikamwitisha namba na nikamshow nitamcall
After kuvibe wiki kadhaa
Tukaamua kucuff tukakua malovebirds
Tukianza ilikuwa fun
Na ju mi mtu maconnection
Nikamsakia mboka
Nikamlipia rent na depo si ati nimeomoka
Job ikaivana mshahara akaanza kupata
Nikakuja kupata ka ako wera
Dosi pia huigonga
Mimi mapenzi ya Nairobi sidai
Lazma umwage noti ndo akunoki buda
Akikuuliza uko wapi, mwambie si shidake
Ndo ajue we si nani? Ndo ajue we si wake
Mimi mapenzi ya Nairobi sidai
Lazma umwage noti ndo njoti ikam
Akikuuliza uko wapi, mwambie si shidake
Ndo ajue we si nani? Ndo ajue we si wake
Mapenzi ya Nairobi sidai
Mapenzi ya Nairobi sidai
Mapenzi ya Nairobi sidai
Mapenzi ya Nairobi sidai
(Chain chain inaeza kuwa ya mtu saba)
Usifurahie sana, ka ushaichapa
Ju ka huko rada
(Unajua Chain chain inaeza kuwa ya mtu saba)
Explore Other Music Lyrics Here