SHARE

Leo Ndo Leo Lyrics by TNC featuring Mbosso

SHARE

TNC Lyrics

Read and sing aloud Leo Ndo Leo Lyrics by TNC featuring Mbosso. The song has been well-received by fans in Tanzania and beyond

Cover for Leo Ndo Leo By TNC

Leo Ndo Leo Lyrics by TNC featuring Mbosso

Leo Leo ndio Leo

TNC

Leo Leo ndio leo

Chege

Propaganda Propaganda Tupakule

Wale washamba O washamba Tupakule

Wapenda Uganga na Manyanga Tupakule

Wadananda Wadananda wapenda Bure

Mbosso

Tu Enjoy Dunian Pana Maisha Matamu

Oya ma homeboy Tule ujana Maisha matamu

Leo hamni ng'oi oya wana maisha matamu

Haipingwi Haipoi Oya pambana Maisha matamu

Leo Leo ndio leo

Leo Leo ndio leo

Leo Leo ndio leo

Leo Leo ndio leo

Temba

Anajuta Mwenzenu yamemkuta

Alizani taratibu Mjuba anapeleka Puta

Anajuta Mwenzenu yamemkuta

Alizani taratibu Mjuba anapeleka Puta

Baby kula mazaga kunywa na laga

siunapenda mabaga mama kula ma baga

ila we leo umeyakanyaga

Mbosso

Tu Enjoy Dunian Pana Maisha Matamu

Oya ma homeboy Tule ujana Maisha matamu

Leo hamni ng'oi oya wana maisha matamu

Haipingwi Haipoi Oya pambana Maisha matamu

Leo Leo ndio leo

Leo Leo ndio leo

Leo Leo ndio leo

Leo Leo ndio leo

Juma Nature

Watoto Wa baba mmoja tumekutana tena

wa baba mmoja tumekutana tena

Ndugu Wa baba mmoja Tumekutana tena

wa baba mmoja tumekutana tena

Mbosso

Tu Enjoy Dunian Pana Maisha Matamu

Oya ma homeboy Tule ujana Maisha matamu

Leo hamni ng'oi oya wana maisha matamu

Haipingwi Haipoi Oya pambana Maisha matamu

Leo Leo ndio leo

Leo Leo ndio leo

Leo Leo ndio leo

Leo Leo ndio leo

Read Other Latest Song Lyrics Here

Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

Related

ADVERTISEMENT