SHARE

Read 'Kovu' Lyrics by Moni Centrozone Ft Chid Beenz

SHARE

Read Kovu Lyrics by Moni Centrozone Ft Chid Beenz. The song has been well received in Tanzania and East Africa.

READ ALSO: Read That Again Lyrics By Moni Centrozone Featuring G Nako | READ

Read 'Kovu' Lyrics by Moni Centrozone Ft Chid Beenz Below:

Simu saa nane usiku 

Vipi unataka chapati 

Mama vipi umemiss mikasi 

We ni fundi wa kila kitu 

Vipi umechunda kwa wachati 

Unafosi kukimbizana na wakati 

Kaa ukijua mapenzi yetu 

Yalinipa sana funzo 

Japo tulipendana kutwa 

Ndizi kwenye utumbo 

Siku tulipoachana tuliacha 

Sana gumzo 

Vijembe ukanipiga sana nyundo 

Nikasema shkopaa nilivosikia 

Unatoka na madon 

Nikawa namokaa akili yangu 

Nikaiweka mzigoni 

Nakuogopa maana ulitaka 

Kuntupa shimoni 

Tulipotoka unajua ni mbali 

Majengo sokoni 

Yale hayakuwa mapenzi mama 

Haikuwa sawa 

Mwenzako nna kidonda cha mapenzi 

Kovu na sijapata dawa 

Yale hayakuwa mapenzi mama 

Haikuwa sawa 

Mwenzako nna kidonda cha mapenzi 

Kovu na sijapata dawa 

Hatua mbili unarudi nane 

Kwenye kumi 

Bila complain bila kukunja ngumi 

Tryna show up ila nakuona giza 

Moshi niko clean clean kama Sizla 

Usije pande hizi Nitakuita mwizi 

Piga bakora za mbavu mpaka michirizi 

No bless no hair no you hauko fair 

Nilikupa ball na ukashindwa kuichezea 

Love yangu true but for you ikapepea 

Hata my crew watching you ukipotea 

Nothing but fool but do you usije tokea 

Kalaga bao haina part two utazoea 

Shauri zao wanaosema kwamba nakuonea 

Shauri zao nishazoea wakiongea 

Niache peke yangu mi nna mambo zangu 

Nna njia zangu mi nna ishu zangu 

Am Done 

Yale hayakuwa mapenzi mama 

Haikuwa sawa 

Mwenzako nna kidonda cha mapenzi 

Kovu na sijapata dawa 

Yale hayakuwa mapenzi mama 

Haikuwa sawa 

Mwenzako nna kidonda cha mapenzi 

Kovu na sijapata dawa 

Ushakaa ndani ukapika na kupakua 

Nami sikutaka uwe kipa 

Maana kuscore unajua 

Ikafika tamati hadi tukaamua kuyatua 

Sitaki hesabu mimba ngapi 

Tulizoamua kufyatua 

Kupendana na kuchepuka 

Timing kimachale 

Na mimi best friends zako 

Wote wazuri lazma niwale 

Mda mchache X 

Anageuka shemu 

Fanya yote ogopa sana mwanamke 

Anaeitaka fame 

Mwanzo nilitambua kwamba 

Mapenzi yana visa 

Cha pili sikutambui kwamba 

Kuachana ni vita 

Na kwa sababu ni vita 

Basi mbali utafika 

Epuka ubaya wa kashfa 

Ama uzuri wa sifa 

Tofauti ni rangi 

Kati ya donkey na Zebra 

Sitegemei shafti mjini hesabu aljebra 

Kasura ni cha huruma ila 

Moyoni una agenda 

Nishaamua sirudi nyuma kwenda 

Mwana kwenda 

Yale hayakuwa mapenzi mama 

Haikuwa sawa 

Mwenzako nna kidonda cha mapenzi 

Kovu na sijapata dawa 

Related

ADVERTISEMENT