Read Enjoy Lyrics By Jux Featuring Diamond Platnumz
Read Enjoy Lyrics By Jux Featuring Diamond Platnumz. The song has been well received in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Jux Joins Forces With Diamond Platnumz In A New Song “Enjoy” | LISTEN
Read Enjoy Lyrics By Jux Featuring Diamond Platnumz Below:
Ni leo acha tu niwaweke wazi
Mubaki na mishangao
Kuhusu haya mapenzi nataka kuwaeleza
Na leo tena waiteni paparazzi
Warushe na mitandao
Sitaki mapenzi nataka jipongeza
Nnaemwita huyo baby
Kumbe nae ana baby
Oooh unayemuona kipenzi
Ni mshenzi hakupendi
Ama kweli mtihani
Mambo mengi dunia
Nami stress siwezi
Oooh siwezi
Bora nienjoy maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora nienjoy maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Kama kupenda bora nimpende mama yangu
Kama kupendwa mimi nitajipenda peke yangu
Ooooh kilichoniponza ufala
Kujiona simba kumbe swala
Kazama kwenye penzi uchwara
Badala ya kusaka miamala
Aiyooooo
Toka nidate pesa sasa napendeza
Na tena naenjoy na wanangu mahome boy
Ooooh akaunti inasoma
Na ka mwili kananona
We mwenyewe si unaona
Aiiii nasema bora
Bora nienjoy maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora nienjoy maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Napenda nikilewa nipande juu ya meza
Natema kiingereza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Za Za Za
Bora nienjoy maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo