Read Brothermen Lyrics By Aslay
Read And Sing Aloud Brothermen Lyrics By Aslay. The song marks another time the Tanzanian singer has dropped a hit.
READ ALSO: Read Nice Couple Lyrics By Aslay
Read Brothermen Lyrics By Aslay Below:
Brothermen Aaaah Brothermen
Brothermen Aaaah Brothermen
Brothermen Aaaah Brothermen
Hot stories
Brothermen Aaaah Brothermen
Brothermen haongi demu
Brothermen anahongwa
Brothermen kila sehemu
Brothermen akitoka
Brothermen anamiliki kioo mswaki
Na godoro na kikabati
Akakijaza nguo na maphoto
Brothermen picha zinamng’arisha
Anaonekana mtoto wa kishua
Lips nyekundu amejichubua
Ana lijimama tu linamlea
Brothermen anatumia mputuruni
Wake za watu wanakosa uhuni
Anapenda kitonga anapenda ushuru
Kwenye mapenzi anakaaga kunguru
Mmmmmmh
Aaaah Brothermen
Brothermen Aaaah Brothermen
Brothermen Aaaah Brothermen
Brothermen Aaaah Brothermen
Brothermen anapiga picha Masaki
Pizza yeye ugali hataki
Akiwa Masaki hataki pikipiki
Ataomba omba gari kwa rafiki
Na kiingereza cha uongo au kweli
Kudanganyia dada zetu
Hawalipagi bili
Wala mafuta sheli pesa
Wanatoa Aunty zetu
Havai kilocal anavaa kisasa
Maclub wanakesha mageto yetu
Wanakodigi tunapata pesa
Perfume wanapigaga hodi
Harufu ya kikwapa na geti
Langu nachomelea
Akose pa kupita Aaaah
Brothermen Aaaah Brothermen
Brothermen Aaaah Brothermen
Brothermen na maisha ya kudanga
Aaaah Brothermen
Brothermen wanakesha kama wanga hawa
Aaaah Brothermen
Chakula kwa mjomba Brothermen
Kulala kwa kitanda nda
Hashibi vitisho huyu baba
Anajikuta mtemi anajiona simba
Kutwa kucha matukio ya kishamba
Na hana analoweza zaidi ya kuvimba
Mikawara kama kaisomea
Utata milionea wanaogongana naye
Kinyabile na wadekshia
Hajiheshimu huyu mpumbavu
Mpenda kiki kashawahi kosa perfume
Akapaka mafuta ya maiti
Mpenzi wa kioo zaidi ya dadaake
Mrembo ka dem wake
Lamba lamba midomo
Mbele ya wanaume wenzake
Uso mkavu haoni noma
Kazi imemruka
Miaka nenda miaka rudi
Hata kusuka
Hicho kibob cha mizinga
Mwanaume anadanga
Tozi anapaka wanja
Na nyusi anatinda
Kwao amemisi ila aliwashinda
Maisha halisi ya home sio kitu anapenda
Brothermen
Haongelei kazi ye ni bata mwanzo mwisho
Inayopatikana anaichoma hajali kesho
So port uliiza ninina huna hela
Waishi waini
Kugharimia huwezi unataka ukuwe nani
Brothermen picha zinamng’arisha
Anaonekana mtoto wa kishua
Lips nyekundu amejichubua
Ana lijimama tu linamlea
Anatumia mputuru brothermen
Brothermen Aaaah Brothermen
Brothermen Aaaah Brothermen
Brothermen Aaaah Brothermen
Brothermen Aaaah Brothermen