SHARE

Read Zinduna Lyrics By Phina

SHARE

Read And Sing Aloud Zinduna Lyrics By Phina. The song is well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.

READ ALSO: Read Nakuja Lyrics By Nay Wa Mitego Featuring Phina

Read Zinduna Lyrics By Phina Below:

Habibi anuru ayni

Aaaah Mashaallah

Kaniweza si mnajionea

Nazidi kua ayawahi aah salala

Kachombeza na kapalilia

Amewasha na silaha anataka kunishut shut

Mbona hili ni balaa tena kashanisomea kunuti

Jangwa sahara kaliona lipo imara

Na mbadala sijaona si masihara

Nyamnyam namchinjia kikuku

Nampa na supu ya mapupu

Kaa ndani tuishiwe luku

Tamu tamu kwa milio ya kasuku

Kwa mbali vijinyimbo vya zuku

Umetaradadi mambo ipo huku

Mimi ndo ambali yake (yendo zinduna zinduna)

Nanilamba mi ndo asali yake ( ye ndo zinduna zinduna)

Mi mimi ndo mbali yake (ye ndo zinduna zinduna)

Ananilamba mi ndio asali yake (ye ndo zinduna zinduna)

Mambo taratibu aah ananikosha

Naona aibu aah mi najificha

Atakupetipeti ameshaacha zamani

Alivyoniset set kumwacha sidhani

Haya panda jet jet panda boda sa yakazi gani

Aya mambo nyeti nyeyi usiku nyie watoto kalaleni

Nyamnyam namchinjia kikuku nampa na supu ya mapupu

Kaa ndani tuishiwe luku

Tamtam kwa milio ya kasuku kwa mbali vijinyimbo vya zuku

Umetaradadi mambo ipo huku

Mimi ndo ambali yake (yendo zinduna zinduna)

Nanilamba mi ndo asali yake ( ye ndo zinduna zinduna)

Mi mimi ndo mbali yake (ye ndo zinduna zinduna)

Ananilamba mi ndio asali yake

(ye ndo zinduna zinduna)

Zinduna - Phina

Related

ADVERTISEMENT