SHARE

Read Yanga Mwamba Lyrics By Rayvanny

SHARE

Read And Sing Aloud Yanga Mwamba Lyrics By Rayvanny. The song acts as a remix of Rayvanny's 2022 hit song titled "Mwamba"

READ ALSO: Read Nakupenda Lyrics By Rayvanny

Read Yanga Mwamba Lyrics By Rayvanny Below:

Nawaleta mabingwa wetu muwaone 

Nawaleta mabingwa wetu muwaone 

Yanga hawa hapa 

Yanga hawa hapa 

Yanga hawa hapa 

Yanga hawa hapa 

Namleta Rais Hersi mumuone 

Namleta GSM Bosi mumuone 

Mwamba huyu hapa 

Mwamba huyu hapa 

Mwamba huyu hapa 

Mabibi na mabwana 

Nawaletea mabingwa hao 

Kwanza tukifa hatuozi yanga 

Hatuna matatizo yanga 

Yanga hatuna baya Yanga 

Yaani tumenyooka 

Tulizunguka kila kona 

Kutafuta furaha ya moyo 

Mungu katupa Yanga inayotufaa 

Makolo najua inawachoma mkaroge 

Tanga Bagamoyo 

Mungu kapanga yeye hamuwezi kukataa

Twaikumbatia hamtufanyi chochote 

Tena Yanga Yetu 

Twaichumu hamsemi chochote 

Twaipenda pia 

Hamtufanyi chochote sisi ni Yanga 

Twatamba hatumuogopi yoyote 

Wananchi mbele Yanga mbele mbele 

Wananchi mbele Yanga mbele mbele 

Acha tusonge mbele daima 

Mbele mbele 

Acha tusonge mbele daima 

Mbele mbele 

Nawaleta mabingwa wetu muwaone 

Nawaleta mabingwa wetu muwaone 

Yanga hawa hapa 

Yanga hawa hapa 

Yanga hawa hapa 

Yanga hawa hapa 

Namleta Rais Hersi mumuone 

Namleta GSM Bosi mumuone 

Mwamba huyu hapa 

Mwamba huyu hapa 

Mwamba huyu hapa

Mwamba huyu hapa  

Sisi ndo vinara yanga 

Tena tunang’ara yanga 

Muulize Manara

Si ndo tunatawala 

Raundi hii hatuachi nafasi 

Kashasema Harafati 

Ali Kamwe katuruhusu 

Tuvimbe hata kama hawataki 

Tulizunguka kila kona 

Kutafuta furaha ya moyo 

Mungu katupa Yanga inayotufaa 

Makolo najua inawachoma mkaroge 

Tanga Bagamoyo 

Mungu kapanga yeye hamuwezi kukataa

Twaikumbatia hamtufanyi chochote 

Tena Yanga Yetu 

Twaichumu hamsemi chochote 

Twaipenda pia 

Hamtufanyi chochote sisi ni Yanga 

Twatamba hatumuogopi yoyote 

Wananchi mbele Yanga mbele mbele 

Wananchi mbele Yanga mbele mbele 

Acha tusonge mbele daima 

Mbele mbele 

Acha tusonge mbele daima 

Mbele mbele 

Nawaleta mabingwa wetu muwaone 

Nawaleta mabingwa wetu muwaone 

Yanga hawa hapa 

Yanga hawa hapa 

Yanga hawa hapa 

Yanga hawa hapa 

Namleta Rais Hersi mumuone 

Namleta GSM Bosi mumuone 

Mwamba huyu hapa 

Mwamba huyu hapa 

Mwamba huyu hapa 

Mwamba huyu hapa 

Related

ADVERTISEMENT