SHARE

Read Unatosha Lyrics By Dayoo

SHARE

Read And Enjoy Unatosha Lyrics By Dayoo. The Bongo Fleva song has been well-received in Tanzania and beyond.

READ ALSO: Read Nikuone Remix Lyrics By Dayoo Ft Kusah

Read Unatosha Lyrics By Dayoo Below:

Iwe kiangazi ama masika 

Iwe jua mvua imenyesha 

Nitakupenda daima 

Ooooh weeeh 

Ikitokea nimepata tumekula tumelala 

Hata nikikosa unavumilia mama 

Oooh Weeeh 

Hata uzunguke dunia nzima 

Huwezi pata kama huyu

Huyu baby wangu 

Hata wakisema ngoja 

Chagua mmoja 

Kwenye milioni moja 

We ndo namba moja 

Maana unanifaa mama 

Moyoni umenikaa nanaaa 

Unatosha staki ongeza mwingine 

Ila wewe unanitosha unanitosha

Unatosha staki ongeza mwingine 

Ila wewe unanitosha unanitosha

Mmmmmh 

Utamu wa peremende 

Umeninogesha nikupende 

Usiniache nikapita upande my weeeh 

Ntatafuta na kakiwanja tujenge 

Tumiliki kwetu tusipange 

Majirani kichwani wasitupande 

Mi na wewe 

Oooh weeeeh 

Hata uzunguke dunia nzima 

Huwezi pata kama huyu

Huyu baby wangu 

Hata wakisema ngoja 

Chagua mmoja 

Kwenye milioni moja 

We ndo namba moja 

Maana unanifaa mama 

Moyoni umenikaa nanaaa

Unatosha staki ongeza mwingine 

Ila wewe unanitosha unanitosha

Unatosha staki ongeza mwingine 

Ila wewe unanitosha unanitosha

Related

ADVERTISEMENT