Read Tunamjua Lyrics By Marioo
Read Tunamjua Lyrics By Marioo. The song marks another time Marioo has hopped into a Singeli genre.
READ ALSO : Read "Sing" Lyrics By Marioo
Read Tunamjua Lyrics By Marioo Below:
Anapenda umalaya hata sisi tunamjua
Kazi yake kudanga hata sisi tunamjua
Hajawahi kataaa hata sisi tunamjua
Hot stories
Masela huyo mtoto ana umeme
Shiiiii
Wahuni huyo mtoto huyo
Ana umeme
Anapenda mademu hata sisi tunamjua
Hata Range anahonga hata sisi tunamjua
Hajawahi kataa hata sisi tunamjua
Jamani huyo mdanga
Una umeme
Shiiiii
Nasema huo mdanga huo
Una umeme
Mtoto mdogo mdogo wa mambo
Hata sisi tunamjua
Mtoto mdogo anapenda tango
Hata sisi tunamjua
Michezo ya Buza kaanza kitambo
Hata sisi tunamjua
Huyo mtoto anayaweza
Alooooooh
Nasema huyo mtoto huyo
Anayaweza
Mtoto mdogo mdogo wa ng’ambo
Hata sisi tunamjua
Mtoto mdogo anapenda tambo
Hata sisi tunamjua
Leo kapanda mtumbwi wa vibwengo
Hata sisi tunamjua
Mwacheni huyo mtoto kayakanyaga
Hata sisi tunamjua
Hata sisi tunamjua
Hata sisi tunamjua
Kapita Kariakooo
Wamempukutisha
We kapita Kariakooo
Acha niseme na wanangu
Watoto wa Jangwani
Wananchi
We peperusha peperusha
Peperusha peperusha
Peperusha peperusha
Peperusha peperusha
Wapi wanangu wa Wekundu wa Msimbazi
Aloooo Weeeeee
Alooo Weeeee
We naliamsha wenenu naliamsha
We mushizo mpe Abbah
Hata sisi tunamjua
Hata sisi tunamjua
Hata sisi tunamjua