Read Sweet Remix Lyrics By Kusah Ft Kontawa & Mabantu
Read Sweet Remix Lyrics By Kusah Ft Kontawa & Mabantu.The song has been well-received by fans in Tanzania and beyond.
READ ALSO: Read Wenyewe Lyrics By Kusah Featuring Maua Sama
Read Sweet Remix Lyrics By Kusah Ft Kontawa & Mabantu Below:
Mi nachekaga tyu
Si wanapenda kubang
Kusah tena
Au hujaipenda kumaanisha nini
Nakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare mama
Nakucare upate kitu japo sio vyote
Mama mtu poa tyu wakikuita mental
Rungu shika ata beto kaba mpaka kivuli
Beki fulani hivi mwamwenyeto
Now sipigi nyeto mama yenu ananizungusha
Viuno fulani hivi shevi shenko
Eeh
Mtoto mnazi mtoto tuiiii mtoto kifuani ndui
Bebe fulani yes akawa ex wangu
Shanga nyingi alafu kukulana hajui
Nakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare mama
Nakucare upate kitu japo sio vyote
Nakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare upate kitu japo sio vyote
This love
Sweet sweet
Tamu kama sugar
Sweet sweet
Tamu kama pipi
Sweet sweet
Tamu kama asali
Sweet sweet
Oooh
This love
Sweet sweet
Mmmh
Tamu kama sugar
Sweet sweet
Tamu kama pipi
Sweet sweet
Aah
Tamu kama asali
Sweet sweet
Eeh
Mama embu njoo nyumbani
Nataka tutucheze michezo ya body kwa body
niktakufika kileleni nakufikisha napita Mandela road
Tukiwa chumbani navunguriaga kaa mziki
Eeh
Alafu navua boxer maan we upendi pikipiki
Aah
Kama mapenzi safari mama akigiza hennessy
Ntakupa vyote ila siwezi kukupa stress
Achana nao wanaosema napiga kesi
Habari za moto moto zitatuunguzia zi..
Nakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare mama
Nakucare upate kitu japo sio vyote
Nakupenda siku zote za uhai wote
Ntakucare upate kitu japo sio vyote
This love sweet sweet
Tamu kama sugar
Sweet sweet
Tamu kama pipu
Sweet sweet
Tamu kama asali
Sweet sweet
Ooh
This love
Sweet sweet
Tamu kama sugar
Sweet sweet
Tamu kama pipi
Sweet sweet
Aaah
Tamu kama asali
Sweet sweet
Yooh
Ilibidi niroge jasho Ilibidi upigwe msako
Kukupata wewe mama mtu ilibidi ni hustle
Nishamaliza hapa changu chako chako changu
Wanasema tutaachana mama Amina
Oyaaah
Ukipika ntapakuwa na kama ikilowana ntakamua
Pumba ntachambua mi ntaingiza bill mama mtu
Ukilipa nuaaa
Nakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare mama
Ntakucare upate vitu japo sio vyite
Ntakucare mama
Nakupenda siku zangu za uhai wangu
Ntakucare upate kitu japo sio vyote
This love
Sweet sweet
Tamu kama sugar
Sweet sweet
Tamu kama pipi
Sweet sweet
Tamu kama asali
Sweet sweet
Oooh
This love
Sweet sweet
Mmh
Tamu kama sugar
Sweet sweet
Tamu kama pipi
Sweet sweet
Aaah
Tamu kama asali
Sweet sweet